IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

Kunywa panadol mkuu,, yatapoa tu maumivu
 
Kwenye Football Data Base Simba ni ya 124.



 
Kuna timu tano hapo hazina hata kijiko ukiitoa hiyo simba na wengine wanamiaka10 hwajawahi kushika nafasi ya pili kwenye ligi zao nchini mwai
 
Hongereni
 
Nyie wenye kombe leteni list yenu

Najua mtashindwa natoa chansi hata ya uongo tu mnaruhusiwa kuja nayo

Mkishindwa na hapo nyie ni losers na ndio maana...au basi
 
Na Petro Luanda(Angola).....basi..
 
Mkuu hongereni sana. Tunaomba kujua na timu yetu ya Wananchi (Yanga afilika) tupo nafasi ya ngapi.
 

Hivi hizi data huwa mnamuongopea nani na kwa faida ya nani!? Mbona hamuwezi kuficha umbumbumbu ndugu zangu napata na walakini na aina ya mashabiki wa timu hiyo..kwenye website yao data ambazo zipo updated ni za 1Feb 2022 mpaka 31 Feb 2023..Wewe na Kazumari wako na Mo dewji kama kawaida yenu mkakaa kutafuta cha kuwaongopea mashabiki maandazi wenu na hili muwachanganye zaidi mkaandika tarehe ya kimagumashi 1 march 22 mpaka 28 feb 23 mnapingana kabisa na timeline iliyopo kwenye database zao ambazo zipo updated tarehe 23 February mwaka huu..Huu ni mradi wa nani wa kuwaongopea mbumbumbu?unavyoona hapo simba ipo top ten?
 
Tatizo kuna watu wanaichukulia poa sana Simba, ila kiukweli wamepambana sana kufika walipofika hata kama msimu huu wana timu mbovu kama wasemavyo baadhi ya watu!
Timu zote lazima zipitie hali hiyo, ukiwa na timu nzuri kuna kipindi timu yako naishiwa makali kutokana na wachezaji kuzeeka au wachezaji wapya unaosajili kushindwa kuziba nafasi zilizoachwa wazi na wachezaji wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…