IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9



pyramid ana kombe gani?
 

Hii ni IFFHS imetoka 31 Jan 2023 tuambieni hiyo ya kwenu mmeitoa wapi?
Kweli nimeamini viongozi wa simba wanawaona mashabiki wao ni mbumbumbu wanawafanya vile wanavyotaka maana wamezoea kudanganywa,kama mlidanganywa kuhusu manzooki na bado akaletwa mpaka kwenye uchaguzi siwezi kuwashangaa.
 
Kwa watanzania kuibeza Simba niswala la kawaida kwa sababu ni timu tumeizoea muda mwingne inafungwa had na Kagera lkni Simba Kwa Africa ni timu Bora sana
Raja walifanya sherehe na kukata keki baada ya kuifunga simba hapa. Horoya waliahidiwa mipesa na matajiri kwa kuifunga simba nyumbani kwao. Uto wanafikiri kwa kuwa simba inafungwa na mayele basi wao watachukua nafasi ya simba hahaaaa
 
Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Hahaaa ukiumia sio lazima ulie hadharani waweza kujifungua hata chooni ukalia hukoo ikabaki siri yako. Maumivu yakikuzi sokomeza zaidi ule mwiko wenu uzame zaidi
 
Kwenye list hii Yanga inazidiwa hata na timu inaitwa Future. Si msanii huyu 🤣😂🤣?
 
Hata km no 11, ni sehemu nzuri pia.
 
Hatukatai lakini kuna haja gani ya kuongopea watu nafasi halisi?? Si mara moja wanafanya hivi unakuta kwenye rank simba ni ya 12 wao wanaiweka ya saba hili tu iwe kwenye kumi bora...Sasa ndio nauliza kuna haja gani ya kufanya hivi wakati kila kitu siku hiz ni rahsi kukipata mtandaoni?
Hata km no 11, ni sehemu nzuri pia.
 
Aaaah sasa ndo wee unaumia na hili?? Relaaaaaax bhana.
Kawaida tyuuh
 
Hivi hao si ndio walisema ligi ya NBC PL ni ligi ya 5 kwa ubora Africa mbele ya ligi ya South Africa. Okay hongereni watoto wa Rage
 
Simba Sc ni timu fulani kubwa sana ..
 
The takeover of mamelody sundowns in Africa football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…