[emoji1787][emoji16][emoji16]upoo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nikajua mbususu ni nini...
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Nipo my dear... Wee ndio umeadimika[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16]upoo?
Inakera sana wangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16] uko kama mimi
Kweli MkuuHapana sio yeye, sema hawa hawaaminiki wengine wana majina mengi kila mwanaume anapewa lake.
[emoji23][emoji23][emoji23] Anaanzisha miradi mikubwa mikubwa ununuzi wa mikoba, viatu, mawigi... Shida hana adabu anadanganya anatumia mapato ya ndani kumbe nipo dona kantri halafu hani appreciate!!Hahah nimecheka hiyo misemo ya uchumi wa kati. Lakini mnawakosea sana akina Kim, wale wanamiliki mkwanja wa laana hawapaswi kufananishwa hata kwa bahati mbaya na hawa wajukuu wa TANU.
Tatizo sio kuomba hela au kutoa hela, najua kuna wakati natakiwa kum spoil mtu wangu ila sasa isiwe ndio sheria kwamba kazi yake ni kutoa mbususu na kazi yangu Ni kumpa hela randomly! Yaani hachangii chochote kwa relationship zaidi ya mbususu yake!Hao mnaowasifia hawaombi sio kwamba wanapenda kutokupewa pesa. Hawana tu ujasiri wa kuomba ila asilimia karibu mia ya wanawake tunapenda pesa za wapenzi wetu
Acha kabisa... Mnajikuta mnachati insta, WhatsApp, na text za kawaida halafu huko kote content tofauti.... Ukiona tu mmepunguza kutumiana picha ujue utamu wa penzi jipya upo ukingoniUtramu wa penzi jipya unanouga hataree!
Mbaya zaidi akitaka nimpigie anaandikaYaan mi hata mwanaume anaweka x badala ya s naonaga ni bora mbususu yangu nimpe ngedere aisee
Nimeshtuka mkuu, hanipati Sasa!Bro hao ambao S wanaweka X kama mpaka sasa umeweza kusurvive mshukuru sana Mungu bila ivo ungeshakufa hao hawaoni shida kukuua kabisa maana wanachoangalia kwao ni maslahi yao binafsi tu hata kama ukimwambia sina hela yuko radhi kukupa ushauri uuze simu yako au gheto ulilopanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imenikumbusha Miaka ya nyuma sana
Nlkua na kabint ka chuo,
Ukishinda nae sikU nzima utatajiwa mahitaji yasiyopungua pesa taslimu million 1.
Ukitembea na barabarani, kila kitu kizur anakitamani.
Kama anashida,
ukituma kuanzia laki ndo atasema asante.
Ukituma chini ya hapo Ata Asante upewi.
Nlipomwambia iyo tabia sitaki,
Akachukia eti
"Sasa shida zangu nsipokwambia wewe ntamwambia nani, Kama vipi TUACHANE"
Nkamjibu "POA"
Inakata stimu yaanMbaya zaidi akitaka nimpigie anaandika
"PG BAX"
Inashangaza na kukatisha tamaa sana
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Yaanu ningeshamuacha hapo kwenye suala la kuzingatia x badala ya sBasi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa moto hatari anaongea kiswahili flani cha Kimamtoni huwezi amini! Ana life lake hilo standard za Western Union yaani Barclays kabisa achana na hizi za Mkombozi akaunti!
Huku na huku nikajikuta tu namuelewa kila nikimuona moyo unakosa utulivu nikasema cha kufia nini acha nijilipue! Nikatega mingo, binti akajaa wavuni Sasa sijui yeye ndio aliingia kwenye anga zangu au Mimi ndio niliingia kwenye anga zake but all in all viliumana!
Utamu wa penzi jipya ukawa utamu kweli! Yaani vile nikiwa nae najiona kabisa nipo level nyingine! Sasa shamra shamra za penzi jipya zikaisha ikabidi tuingie kwenye true life yaani maisha ya kweli! Aisee sikudanganyi sijawahi kuona mdada anapiga mizinga Kama huyu manzi wangu! Hakuna cha Kim Kardashian wala Kim Kadashiani, hovyo kabisa! Anapiga mziga kuliko serikali yetu, halafu akipewa hela anajifanya eti maendeleo yake yanatoka na hustle zake tu yaani pesa za ndani! Anajiita malkia wa nguvu, malkia wa nguvu halafu unategemea donor country!!!
Mara "Babe nmeixhiwa credit nitumie bx" utamtumia vocha baada ya dakika kumi,
"Babe natk niende town nitumie hata 10k ikanisaidie" yaani Hadi siku inaisha hizo buku mbili mbili buku kumi ninazotuma bora ningeenda kuweka vikoba tu ingenilipa mwisho wa mwaka! Halafu mbaya zaidi anaona kupewa hela ni haki yake yaani nilizaliwa kumpa hela yeye, Sasa najiuliza tukitoa mbususu yake kwenye mahusiano yetu ana faida gani nyingine? Nakosa jibu!
Mbaya zaidi hajui kuandika penye S anaweka X hivi mtu wa hivyo anashindwa kuniua kweli? Hapana nimechoka kwa kweli, wiki hii haiishi ataniacha tu! Imefika hatua naona Bora niachwe hakuna namna!
Pia soma: Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?
Anapiga mziga kuliko serikali yetu, halafu akipewa hela anajifanya eti maendeleo yake yanatoka na hustle zake tu yaani pesa za ndani! Anajiita malkia wa nguvu, malkia wa nguvu halafu unategemea donor country!!!
Ukiona demu ni mnyonya damu tomba SEPA usiweke kambiUmenikumbusha bi mdada amemaliza udom 2019 aliita KIM...ni jinga fulani. Yeye anasmini mapenzi pesa[emoji15] ilibidi tuachane japo ndio hivyo anadam yangu but potelea mbali atafute wanaohonga ovyoovyo awape hiyo mbususu hapo atafurahi.