Ifike hatua niachwe tu!

Ifike hatua niachwe tu!

Bro hao ambao S wanaweka X kama mpaka sasa umeweza kusurvive mshukuru sana Mungu bila ivo ungeshakufa hao hawaoni shida kukuua kabisa maana wanachoangalia kwao ni maslahi yao binafsi tu hata kama ukimwambia sina hela yuko radhi kukupa ushauri uuze simu yako au gheto ulilopanga
 
Hahah nimecheka hiyo misemo ya uchumi wa kati. Lakini mnawakosea sana akina Kim, wale wanamiliki mkwanja wa laana hawapaswi kufananishwa hata kwa bahati mbaya na hawa wajukuu wa TANU.
[emoji23][emoji23][emoji23] Anaanzisha miradi mikubwa mikubwa ununuzi wa mikoba, viatu, mawigi... Shida hana adabu anadanganya anatumia mapato ya ndani kumbe nipo dona kantri halafu hani appreciate!!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Hao mnaowasifia hawaombi sio kwamba wanapenda kutokupewa pesa. Hawana tu ujasiri wa kuomba ila asilimia karibu mia ya wanawake tunapenda pesa za wapenzi wetu
Tatizo sio kuomba hela au kutoa hela, najua kuna wakati natakiwa kum spoil mtu wangu ila sasa isiwe ndio sheria kwamba kazi yake ni kutoa mbususu na kazi yangu Ni kumpa hela randomly! Yaani hachangii chochote kwa relationship zaidi ya mbususu yake!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Bro hao ambao S wanaweka X kama mpaka sasa umeweza kusurvive mshukuru sana Mungu bila ivo ungeshakufa hao hawaoni shida kukuua kabisa maana wanachoangalia kwao ni maslahi yao binafsi tu hata kama ukimwambia sina hela yuko radhi kukupa ushauri uuze simu yako au gheto ulilopanga
Nimeshtuka mkuu, hanipati Sasa!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Imenikumbusha Miaka ya nyuma sana

Nlkua na kabint ka chuo,
Ukishinda nae sikU nzima utatajiwa mahitaji yasiyopungua pesa taslimu million 1.

Ukitembea na barabarani, kila kitu kizur anakitamani.

Kama anashida,
ukituma kuanzia laki ndo atasema asante.

Ukituma chini ya hapo Ata Asante upewi.

Nlipomwambia iyo tabia sitaki,
Akachukia eti
"Sasa shida zangu nsipokwambia wewe ntamwambia nani, Kama vipi TUACHANE"

Nkamjibu "POA"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa moto hatari anaongea kiswahili flani cha Kimamtoni huwezi amini! Ana life lake hilo standard za Western Union yaani Barclays kabisa achana na hizi za Mkombozi akaunti!

Huku na huku nikajikuta tu namuelewa kila nikimuona moyo unakosa utulivu nikasema cha kufia nini acha nijilipue! Nikatega mingo, binti akajaa wavuni Sasa sijui yeye ndio aliingia kwenye anga zangu au Mimi ndio niliingia kwenye anga zake but all in all viliumana!

Utamu wa penzi jipya ukawa utamu kweli! Yaani vile nikiwa nae najiona kabisa nipo level nyingine! Sasa shamra shamra za penzi jipya zikaisha ikabidi tuingie kwenye true life yaani maisha ya kweli! Aisee sikudanganyi sijawahi kuona mdada anapiga mizinga Kama huyu manzi wangu! Hakuna cha Kim Kardashian wala Kim Kadashiani, hovyo kabisa! Anapiga mziga kuliko serikali yetu, halafu akipewa hela anajifanya eti maendeleo yake yanatoka na hustle zake tu yaani pesa za ndani! Anajiita malkia wa nguvu, malkia wa nguvu halafu unategemea donor country!!!

Mara "Babe nmeixhiwa credit nitumie bx" utamtumia vocha baada ya dakika kumi,
"Babe natk niende town nitumie hata 10k ikanisaidie" yaani Hadi siku inaisha hizo buku mbili mbili buku kumi ninazotuma bora ningeenda kuweka vikoba tu ingenilipa mwisho wa mwaka! Halafu mbaya zaidi anaona kupewa hela ni haki yake yaani nilizaliwa kumpa hela yeye, Sasa najiuliza tukitoa mbususu yake kwenye mahusiano yetu ana faida gani nyingine? Nakosa jibu!

Mbaya zaidi hajui kuandika penye S anaweka X hivi mtu wa hivyo anashindwa kuniua kweli? Hapana nimechoka kwa kweli, wiki hii haiishi ataniacha tu! Imefika hatua naona Bora niachwe hakuna namna!

Pia soma: Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?
🤣🤣🤣🤣 Yaanu ningeshamuacha hapo kwenye suala la kuzingatia x badala ya s
 
Wazee wa uingereza walipokutana na wahuni walisema WRITING IS AN ART...

ukiona demu anaandika xaxa, p, k, xawa.. Hakikisha unatumia Condom..

Thank me later
 
Anapiga mziga kuliko serikali yetu, halafu akipewa hela anajifanya eti maendeleo yake yanatoka na hustle zake tu yaani pesa za ndani! Anajiita malkia wa nguvu, malkia wa nguvu halafu unategemea donor country!!!

Nchi ya maziwa na Asali..

Mkuu natumai ulichwa na hujarudia tena kuwa na manzi za dizaini hio
 
Umenikumbusha bi mdada amemaliza udom 2019 aliita KIM...ni jinga fulani. Yeye anasmini mapenzi pesa[emoji15] ilibidi tuachane japo ndio hivyo anadam yangu but potelea mbali atafute wanaohonga ovyoovyo awape hiyo mbususu hapo atafurahi.
 
Mzee baba umekubali matokeo, bora uachwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha bi mdada amemaliza udom 2019 aliita KIM...ni jinga fulani. Yeye anasmini mapenzi pesa[emoji15] ilibidi tuachane japo ndio hivyo anadam yangu but potelea mbali atafute wanaohonga ovyoovyo awape hiyo mbususu hapo atafurahi.
Ukiona demu ni mnyonya damu tomba SEPA usiweke kambi
 
Back
Top Bottom