Ifike mahala kumfollow Rais iwe ni lazima

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Leo nimeingia Instagram kuangalia wanaomfollow Rais wa Tanzania nikakuta ni milioni 2.3, wakati wanaomfollow Millard ni zaidi ya milioni 15, na wanaomfollow baba levo ni zaidi ya milioni 4.

Hivi watanzania kwanini hamumfollow rais wenu? Hadi itungwe sheria ya kumfollow Rais??
 
Wengine virobot....!!Haviwezi kumfollow...!!
 
nasisitiza tunaouguza tujitahidi wagonjwa wetu wanywe dawa kwa wakati na usahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…