Ifike mahala tijivunie chetu.... Diamond ni Almasi Africa..

Tatizo ya hizi timu,mtu wao akitoa wimbo basi nyuzi zinafunguliwa kila baada ya saa. Mnampamba mpaka inapitiliza sasa.
 
Mkuu umeusikia wimbo huo...!?
 
Labda nitaupenda baada ya kuusikiliza mara nyingi.
 
Mkuu umeusikia wimbo huo...!?

Nmeusikia na kuona pia. Yaan kama kwa wimbo huu ndio anakuwa almasi,basi nitakaa kimya nisikwaze watu. Haleluya ilikuja kwa fujo hizi hizi,ngoja tuone mwisho utakuwaje.
 
mkuu nothing which last forever! ulitegemea hallelujah ibaki juu maisha?
 
Nmeusikia na kuona pia. Yaan kama kwa wimbo huu ndio anakuwa almasi,basi nitakaa kimya nisikwaze watu. Haleluya ilikuja kwa fujo hizi hizi,ngoja tuone mwisho utakuwaje.
Mwishilo upi Mkuu....

Au ww ndo mchepuko wa waziri!?? Acheni washamba wandali muyie

Huo uwaziri mliupataje!??

Mnataka tuseme..
 
Duh,huko siko kabisa. Have a nice day!
 
Back
Top Bottom