Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Wapi anakuwa mchezaji mbaya?Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
Wewe ndo unajitoa ufahamu,kwamba Ronaldo awe na uwezo kumzidi Messi,kila mtu anakucheka. Mimi Messi siyo wangu wala Ronaldo simchukii,najua ni moja ya wachezji mahiri duniani,ila kamwe hawez kufika uwezo wa Messi! Kuna wachezaji walikua ni Wazuri sana kama Gaucho Bekham nk kwa vigezo tofauti tofauti lakini vigezo jumla unakuta mmoja yuko juuu ziadi bila kujali kachukua taji ama la. Messi ni bora zaidi kuliko Ronaldo!Unaangaika kweli na Messi wako mpaka unajitoa ufahamu
Kijana umenifanya nicheke ngoja niingie YouTube nimchek vizurKiroboto himself... once again Messi Goal la 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkaona Cr7 anarusha mikono hewani kama Traffic pale Ubungo mataa
Tutake radhi baadhi ya United fans, Mimi ni mmoja wa shabiki mkubwa wa La Pulga (King Messi)Ngoja waje mashabiki wa Man u...watapinga kwa nguvu zote.
Ronaldo ni biashara nyingine! Ni mashine ya magoli ambayo inamalizia muda wake! Miaka inamtupa mkono lakini Messi hatakaa amkaribie! Ana karne ya magoli ya Uefa champion's league! haijapata kutokea! Messi awe mpole tu!Tofauti zao ni kwamba messi ana kipaji cha kuzaliwa lakini ronardo ni bidii ya mazoezi na kujituma ndo imemfikisha pale kwa iyo bado messi yuko mbali sna.
mim ni shabiki wa man utd na sikuwah kumkubali ronldo toka yupo manchester....... messi mpk kesho namkubaliNgoja waje mashabiki wa Man u...watapinga kwa nguvu zote.
Ulivyoenda hosptl walikuambia vidonge umeze lin na muda gan??mess ni mtu wa kutengenezewa kisha yeye anamalizia, hahangaiki kama ronaldo hiyo ndio tofauti yao ninayoiona
fact ronaldo is hardworking but messi is talentTofauti zao ni kwamba messi ana kipaji cha kuzaliwa lakini ronardo ni bidii ya mazoezi na kujituma ndo imemfikisha pale kwa iyo bado messi yuko mbali sna.
Kwa mara ya kwanza messi amejikubali kuwa anatisha ktk hii picha!
Umeandika nn sasaRonaldo ni biashara nyingine! Ni mashine ya magoli ambayo inamalizia muda wake! Miaka inamtupa mkono lakini Messi hatakaa amkaribie! Ana karne ya magoli ya Uefa champion's league! haijapata kutokea! Messi awe mpole tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazi kwelikweli; yaani kuna mdau anaitwa Mwananchi anasema kua Ronaldo ni zaidi ya Messi kisa amechukua ubingwa na Nchi yake lakini ukimuuliza vikombe ambavyo Iniesta anavyo dhidi ya Ronaldo ngazi ya club na nchi yake awezi kusema kua Iniesta ni bora zaidi ya Ronaldo.
Kuna ushabiki maandazi ya kushabikia vurugu za akina Pepe unaacha kufurahia mpira wa Messi kisa aliiifunga timu yako
Asantee mdauKuna wengine wanadai vikombe vya kitaifa na team work siyo individual ili kuipa MTU ubora wake...ebu tuangalie hawa watatu alafu useme kwanini wanasema Messi ni bora zaidi yao.
Iniesta. world cup winner 1; European champion winner 2; UEFA 4; La Liga 8; Spanish cup 4; Spanish super cup 6; FIFA club world cup 3; Uefa super cup 2.
Jumla ya vikombe= 30
Ronaldo C.European champion winner 1; Uefa 3; Laliga 1; Spanish cup 2; Spanish super cup 1; FiFA club world cup winner 3; Uefa super cup winner 2; English super cup 2; English League cup 2; FA 1; EPL 3; Portuguese super cup 1.
Jumla ya vikombe = 22
Messi. Uefa 4; Laliga 8; Spanish cup 4; Spanish super cup 7; FIFA club world cup 3; Uefa super cup 3; Olympic Medalist 1.
Jumla ya vikombe 30.
Je ukilinganisha ubora pamoja na burudani na bidii binafsi utamwachache Iniesta umchukue Ronaldo? Messi naomba tumtafutie mwingine miaka ijayo wa kumfananisha nae.