Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

Unaangaika kweli na Messi wako mpaka unajitoa ufahamu
Wewe ndo unajitoa ufahamu,kwamba Ronaldo awe na uwezo kumzidi Messi,kila mtu anakucheka. Mimi Messi siyo wangu wala Ronaldo simchukii,najua ni moja ya wachezji mahiri duniani,ila kamwe hawez kufika uwezo wa Messi! Kuna wachezaji walikua ni Wazuri sana kama Gaucho Bekham nk kwa vigezo tofauti tofauti lakini vigezo jumla unakuta mmoja yuko juuu ziadi bila kujali kachukua taji ama la. Messi ni bora zaidi kuliko Ronaldo!
 
Anaitwa Lionel Andres Messi Amezaliwa Rosario Nchini Argentina Inaaminika Ndio Mchezaji Bora Kuwahi Kutokea Tokea Mwenyezi Mungu Aiumbe DuniA ni Aina ya wachezaji ambao akishika mpira timu pinzani inagwagwaya....na ndivyo anavyofanya kweli.....toka nianze kuishabikia Barca Style yake ya jana ya kuvua Jezi yake yenye nambari kumi mgongoni na kuwaoneshea Mashabiki waliopo pale Uwanja wa Santiago Bernabeu ambao ni uwanja wa Real madrid ambao hawajaruhusu kufungwa katika Mechi 16 Nyumbani ni miongoni mwa staili zilizonifurahisha sanaa.....!!
Naombeni tufurahie uwepo wake huu kwa muda huu ambao yupo Maana itachukua miaka ata 700 kuja kutokea kama La Pulga Wa Blaugrana!

BARCELONA
 
Tofauti zao ni kwamba messi ana kipaji cha kuzaliwa lakini ronardo ni bidii ya mazoezi na kujituma ndo imemfikisha pale kwa iyo bado messi yuko mbali sna.
Ronaldo ni biashara nyingine! Ni mashine ya magoli ambayo inamalizia muda wake! Miaka inamtupa mkono lakini Messi hatakaa amkaribie! Ana karne ya magoli ya Uefa champion's league! haijapata kutokea! Messi awe mpole tu!
 
Kazi kwelikweli; yaani kuna mdau anaitwa Mwananchi anasema kua Ronaldo ni zaidi ya Messi kisa amechukua ubingwa na Nchi yake lakini ukimuuliza vikombe ambavyo Iniesta anavyo dhidi ya Ronaldo ngazi ya club na nchi yake awezi kusema kua Iniesta ni bora zaidi ya Ronaldo.

Kuna ushabiki maandazi ya kushabikia vurugu za akina Pepe unaacha kufurahia mpira wa Messi kisa aliiifunga timu yako
 
Kuna wengine wanadai vikombe vya kitaifa na team work siyo individual ili kuipa MTU ubora wake...ebu tuangalie hawa watatu alafu useme kwanini wanasema Messi ni bora zaidi yao.

Iniesta. world cup winner 1; European champion winner 2; UEFA 4; La Liga 8; Spanish cup 4; Spanish super cup 6; FIFA club world cup 3; Uefa super cup 2.
Jumla ya vikombe= 30

Ronaldo C.European champion winner 1; Uefa 3; Laliga 1; Spanish cup 2; Spanish super cup 1; FiFA club world cup winner 3; Uefa super cup winner 2; English super cup 2; English League cup 2; FA 1; EPL 3; Portuguese super cup 1.
Jumla ya vikombe = 22

Messi. Uefa 4; Laliga 8; Spanish cup 4; Spanish super cup 7; FIFA club world cup 3; Uefa super cup 3; Olympic Medalist 1.
Jumla ya vikombe 30.

Je ukilinganisha ubora pamoja na burudani na bidii binafsi utamwachache Iniesta umchukue Ronaldo? Messi naomba tumtafutie mwingine miaka ijayo wa kumfananisha nae.
 
fact ronaldo is hardworking but messi is talent
 
Huyo mpira upo kwenye DNA yake. Wala hakuna wakumfananisha nae. Na wanaojaribu kufananisha messi na ronaldo wanajisumbua na kupoteza nguvu zao.
 
sema tumuongezee...
kama kupewa alishapewa muda mrefu sana...!!..
 
f94b6d5779cd0584f203400e47276b92.jpg
Kwa mara ya kwanza messi amejikubali kuwa anatisha ktk hii picha!
 
Ronaldo ni biashara nyingine! Ni mashine ya magoli ambayo inamalizia muda wake! Miaka inamtupa mkono lakini Messi hatakaa amkaribie! Ana karne ya magoli ya Uefa champion's league! haijapata kutokea! Messi awe mpole tu!
Umeandika nn sasa
 
Kazi kwelikweli; yaani kuna mdau anaitwa Mwananchi anasema kua Ronaldo ni zaidi ya Messi kisa amechukua ubingwa na Nchi yake lakini ukimuuliza vikombe ambavyo Iniesta anavyo dhidi ya Ronaldo ngazi ya club na nchi yake awezi kusema kua Iniesta ni bora zaidi ya Ronaldo.

Kuna ushabiki maandazi ya kushabikia vurugu za akina Pepe unaacha kufurahia mpira wa Messi kisa aliiifunga timu yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna wengine wanadai vikombe vya kitaifa na team work siyo individual ili kuipa MTU ubora wake...ebu tuangalie hawa watatu alafu useme kwanini wanasema Messi ni bora zaidi yao.

Iniesta. world cup winner 1; European champion winner 2; UEFA 4; La Liga 8; Spanish cup 4; Spanish super cup 6; FIFA club world cup 3; Uefa super cup 2.
Jumla ya vikombe= 30

Ronaldo C.European champion winner 1; Uefa 3; Laliga 1; Spanish cup 2; Spanish super cup 1; FiFA club world cup winner 3; Uefa super cup winner 2; English super cup 2; English League cup 2; FA 1; EPL 3; Portuguese super cup 1.
Jumla ya vikombe = 22

Messi. Uefa 4; Laliga 8; Spanish cup 4; Spanish super cup 7; FIFA club world cup 3; Uefa super cup 3; Olympic Medalist 1.
Jumla ya vikombe 30.

Je ukilinganisha ubora pamoja na burudani na bidii binafsi utamwachache Iniesta umchukue Ronaldo? Messi naomba tumtafutie mwingine miaka ijayo wa kumfananisha nae.
Asantee mdau
 
Back
Top Bottom