Sure ajifunze kuwa na kiasi wazungu hawakua wajinga waliposema "too much is harmful"Mbowe asome alama za nyakati vinginevyo atakiua chama Cha mikono yake mwenyewe. Nguvu,akili na juhudi alizotumia kukijenga chama itakua ni kazi Bure kama akisubili mpaka chama kitawanyike vipande vipande. Binafsi namkubali sana mbowe lkn kwa kipindi alichokiongoza chama sasa inatosha! Awaachie wengine wenye mawazo mapya.
Tatizo tupo kimaslahi zaidi.Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke,
Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi.
Akiwa kama kiongozi imara asikubaliane na hoja ya kwamba he is irreplaceable itakua ni big mistake. Hata Daudi pamoja na ushujaa wake ambao haukufikiwa na mtu yeyote aliacha mrithi Suleiman, the same to Musa na Yoshua etc
F.A. Mbowe your focus now should be on the leadership succession plan and implementation not otherwise.
Shida Wana CHADEMA hawapendi kujikosoa na kujisahihisha ili kwenda sawa na mahitaji ya wakati husika,Mmeshapewa buku buku na mboga mboga kuja mitandaoni kusumbua mbowe aondoke madarakani??? Kama inakuuma ichomoe
Baadae watakuja kusema wanaibiwa kura au tume inaundwa na watu wa CCM peke yao!.Shida Wana CHADEMA hawapendi kujikosoa na kujisahihisha ili kwenda sawa na mahitaji ya wakati husika,
Mpo more defensive than receptive
Mchaga umwondowe kwenye ulaji?Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke,
Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi.
Akiwa kama kiongozi imara asikubaliane na hoja ya kwamba he is irreplaceable itakua ni big mistake. Hata Daudi pamoja na ushujaa wake ambao haukufikiwa na mtu yeyote aliacha mrithi Suleiman, the same to Musa na Yoshua etc
F.A. Mbowe your focus now should be on the leadership succession plan and implementation not otherwise.
Mmh ! "ULAJI wajameni unauachaje mwee ?"Mchaga umwondowe kwenye ulaji?
π€Shida Wana CHADEMA hawapendi kujikosoa na kujisahihisha ili kwenda sawa na mahitaji ya wakati husika,
Mpo more defensive than receptive
πββοΈπππππ€πAjifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke,
Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi.
Akiwa kama kiongozi imara asikubaliane na hoja ya kwamba he is irreplaceable itakua ni big mistake. Hata Daudi pamoja na ushujaa wake ambao haukufikiwa na mtu yeyote aliacha mrithi Suleiman, the same to Musa na Yoshua etc
F.A. Mbowe your focus now should be on the leadership succession plan and implementation not otherwise.
πββοΈπππππ€Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke,
Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi.
Akiwa kama kiongozi imara asikubaliane na hoja ya kwamba he is irreplaceable itakua ni big mistake. Hata Daudi pamoja na ushujaa wake ambao haukufikiwa na mtu yeyote aliacha mrithi Suleiman, the same to Musa na Yoshua etc
F.A. Mbowe your focus now should be on the leadership succession plan and implementation not otherwise.
Mkuu mbona baada ya mzee Mtei alikuja mzee Makani na hakuwa Mchaga?? Wachaga wamekufanyia nini kibaya??Mchaga umwondowe kwenye ulaji?
Kabisa mkuu, ni wakati sasa wa Mhe. Mbowe kukabidhi kijiti kwa Lema au Heche HATA KAMA BADO ANAPENDWA SANA. CDM inahitaji mabadiliko ya uongozi ili kuleta changamoto mpya na kuendana na hali ya kisiasa tuliyonayo wakati huu.Makonda juzi mbowe leo..
Lissu unagusa penyewe endelea kuwatoa pangoni. Ni wewe tu uliyebaki
Join the chain iliwafumba macho na Nasikia mweh.
Eti walioenguliwa wote warudishwe ndio ya kuita press conference? Tupo serious kweli?
Mnaona wananchi hamnazo??
Kuna wengi humu wanatuchukia kwa kusema ukweli juu ya kuwa hakuna upinzani ni biashara kama biashara zingine.
Mlungula unawatesa
Mnawakosea sana wananchi
Mwenyekigoda unazingua
Utaratibu wa Chama chake unasema je?Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke,
Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi.
Akiwa kama kiongozi imara asikubaliane na hoja ya kwamba he is irreplaceable itakua ni big mistake. Hata Daudi pamoja na ushujaa wake ambao haukufikiwa na mtu yeyote aliacha mrithi Suleiman, the same to Musa na Yoshua etc
F.A. Mbowe your focus now should be on the leadership succession plan and implementation not otherwise.
πββοΈπππππ€
Mkuu mbona baada ya mzee Mtei alikuja mzee Makani na hakuwa Mchaga?? Wachaga wamekufanyia nini kibaya??