Ifike mahali Mbowe akae pembeni CHADEMA, aweke hata mtu wake awe anam-monitor kuliko kuendelea kutokuwa relevant

Ifike mahali Mbowe akae pembeni CHADEMA, aweke hata mtu wake awe anam-monitor kuliko kuendelea kutokuwa relevant

Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke,
Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi.

Akiwa kama kiongozi imara asikubaliane na hoja ya kwamba he is irreplaceable itakua ni big mistake. Hata Daudi pamoja na ushujaa wake ambao haukufikiwa na mtu yeyote aliacha mrithi Suleiman, the same to Musa na Yoshua etc

F.A. Mbowe your focus now should be on the leadership succession plan and implementation not otherwise.
Tulianza kutoa ushauri mapema ila ndio sikio la kufa halisikii dawa
 
Back
Top Bottom