Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Et unasikia kiongozi flani anampa maagizo kiongozi wa ngazi au taasisi flani, inamaana hiyo tasisi haijitambua kabisa mpaka ifanye kazi kwa maagizo na maelekezo.
Basi kuna haja gani ya kuajiri wasomi ninasema hivyo baada ya kuona baadhi za kesi za kuonewa mpaka watu wapewe maagizo ndiyo haki itendeke.
Kumbe serikalini yoyote tu anaweza kufiti au sio.