Ifike mahali serikali ipunguze import tax/duty kwa wafanyabiashara wadogo

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Katika watu wakuangaliwa mno ni hawa wafanyabiashara wadogo hususan vijana wanaonunua bidhaa njee ya tz na kuziingiza nchini, nadhani kuna haja ya serikali kupunguza au kuondoa hizo kodi za uagizwaji wa bidhaa ni kikwazo kikubwa mno
Wangeachwa free waimport au wapunguziwe hususan wazawa na vijana ingesaidia sana wengi mno wangejiunga na biashara mbalimbali na sekta binafsi ingekua mno na serikali mapato ya kodi yangeongezeka mno (kodi za biashara) kwa sababu wengi wangefanya.
Nchi yetu ina mazingira mazuri kwa kilimo lakini sio kwa biashara tunapaswa kubadilika na kuondoa hivyo vikwazo
 
Si mtapingana na Sera za kuishi kishetani, pia itakuwa ngumu kuwatawala, maana yatakiwa mbatizwe kwa moto.Hicho kitu ni ndoto kwa third word country.
 
Mkuu, umenena.
 
Aisee
 
Bora ungesema ipungue labda ...ukifany free importation unaua uchumi wa ndan
Ndo maana yake tena ipungue kwa wale wafanyabiashara wadogo wadogo
 
Back
Top Bottom