toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Katika watu wakuangaliwa mno ni hawa wafanyabiashara wadogo hususan vijana wanaonunua bidhaa njee ya tz na kuziingiza nchini, nadhani kuna haja ya serikali kupunguza au kuondoa hizo kodi za uagizwaji wa bidhaa ni kikwazo kikubwa mno
Wangeachwa free waimport au wapunguziwe hususan wazawa na vijana ingesaidia sana wengi mno wangejiunga na biashara mbalimbali na sekta binafsi ingekua mno na serikali mapato ya kodi yangeongezeka mno (kodi za biashara) kwa sababu wengi wangefanya.
Nchi yetu ina mazingira mazuri kwa kilimo lakini sio kwa biashara tunapaswa kubadilika na kuondoa hivyo vikwazo