Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

Tuendelee kushabikia mipira ya simba na yanga huku tukifanyiwa maigizo ya wasanii kina diamond
 
Makampuni ni ya wahindi, akikosa kuwa mmliki basi anakuwa dalali

Fukuzeni wahindi nchi hii, ni sababu ya umasikini uliokithiri nchi hii

Wahindi kwa wakati wetu huu ni laana
 
Ndio maana elimu yetu haiuziki kimataifa.
Utampelekea nani huo utopolo? Kama majitu mpaka leo yanaamini kuzima Youtube eti kisa mtu anawasema. Sasa videos zinarekodiwa na zitakuwa available hata baada ya yeye kumaliza kuongea. Yani hawa watu finyu sana. Hawawazi mbali kabisa. Na tena ukiblock hivi ndo unawafanya na wengine ambao hata walikuwa hawajui kama Polepole anaongea, wajue
 
 
Watu milion 60 tunakuwa controlled na kakikundi fulani na kufanya watakavyo. Hawajui kuzima mtandao kuna watu tunaingia kwenye hasara kubwa, unamuogopa mtu wa size ya kujibiwa na DC Magoti (Chalamila's voice), unaathiri mamilioni ya watu.
 
Watu milion 60 tunakuwa controlled na kakikundi fulani na kufanya watakavyo. Hawajui kuzima mtandao kuna watu tunaingia kwenye hasara kubwa, unamuogopa mtu wa size ya kujibiwa na DC Magoti (Chalamila's voice), unaathiri mamilioni ya watu.
TCRA imekuwa kama kikundi cha UVCCM. Inabidi ifumuliwe na kusukwa upya. Hatuwezi kuwa regulated na watu walio empty kichwani. TEHAMA ni kitu sensitive sana kwa karne hii.
 
Serikali kwamba inamwogopa ndugu Polepole kiasi Cha kupelekea kuuzima mtandao wa YouTube nchi nzima???.... Jameniii!!!
 
Ndio matokeo ya kuwa na viongozi ambao hawana akili kuanzia ngazi ga juu mpaka mjumbe wa nyumba kumi.

Kama kuna account zinaviolate laws na regulations za nchi TCRA wazireportie twitter haichukui hata lisaa limoja zote zinakuwa suspended

Nchi za Ulaya wiki iliyopita imeburn account zote za twitter zenye maudhui ya ngono lakinj hawajafungia twitter

Naungana na wewe kutumia VPN isiwe a way of life kwanza VPN zinaua betri.
 
VPN saa hivi ni kosa kisheria mzee... Huyo aliepost pole huko X kavunja sheria ambayo serikali yake mwenyewe imeiweka, zero brain
Mjinga huyu! Time will tell kama polisi watamsaidia october basi January Mwakan lazima afe..Hatoboi hata mwaka awamu hii.
 
Hivi huyu mtu anatumia mtandao uliofungwa ili kumfikishia nani huu ujumbe?
 
TCRA endeleeni hivi hivi hadi tupate akili. Siku tukija mjengoni hapo na kuuchoma moto. Hizi mambo hazitajirudia tena.

Kwa sasa endeleeni tu.
 
Kwako ndugu Mwabukusi.
Siku hizi imezuka kawaida kwa taasisi ya serikali ya TCRA kufungia mitandao pindi bwana Polepole akiongea.

Inatushangaza sisi wananchi kuwa siasa za baadhi ya watu inatufanya sisi wananchi kulipa gharama kwa sababu ya mivutano ya kisiasa ya watu.

Ni dhahiri haki zetu za kupata taarifa zinavunjwa, na pia shughuli zetu za kibiashara na kijamii zinakwamishwa na TCRA kwa sababu ya kufungia mitandao kiholelaholea.

Tunaiomba TLS iinvoke ile section ya katiba yake ya kutetea wananchi mahakamani ili kuzuia uonevu na dhulma hii kwa wananchi unaofanywa na TCRA.

Ni matumaini yangu TLS italiangalia hili jambo maana tumechoka na tabia yao ya kufungia mitandao.
 
Katu hata msiwashitaki waacheni watamalizana WAO kwa wao. SI TUKISHA kaa PEMBENI tunawaangalia


Kwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…