ifike mahali sheria ya mavazi itungwe hasa kwa wanawake.

ifike mahali sheria ya mavazi itungwe hasa kwa wanawake.

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
wakuu ukweli tu usemwe huu uzungu sijui niuite uwhiteblack,,, sikuizi umetimba sana mjini hapa wenzetu wana miili iko simple lakin uku bongo kitu kiki trend wao wanazidisha sasa.. ifije mahala haya mavazi nyakati za harusi sheria itungwe wanawake wavae vitenge,, sasa hapa mali yote inejichoraaa kabisaaa na mume nar sijui ndo mariooo au veep.
 
Attachments

  • FB_IMG_17169755227087635.jpg
    FB_IMG_17169755227087635.jpg
    298.2 KB · Views: 3
ila kuna kitabu nilisoma,eti wanasema enzi izo wazee wetu walikua hawavai nguo,uzungu huo huo ukatuletea nguo,sasa uzungu huo huo umependa ile style ya wazee wetu😂😂eti mnawadis nyie vip bwan
 
wakuu ukweli tu usemwe huu uzungu sijui niuite uwhiteblack,,, sikuizi umetimba sana mjini hapa wenzetu wana miili iko simple lakin uku bongo kitu kiki trend wao wanazidisha sasa.. ifije mahala haya mavazi nyakati za harusi sheria itungwe wanawake wavae vitenge,, sasa hapa mali yote inejichoraaa kabisaaa na mume nar sijui ndo mariooo au veep.
kuvaa nguo sio utamaduni wetu
 
Kiasili sisi utamaduni wetu sio kuvaa nguo bali kusitiri kidogo tu zile sehemu nyeti, hivyo basi kuvaa nguo ni mwendelezo wa tamaduni za kikoloni.

Alisikika kataa ndoa mmoja akisema hayo akiwa mafichoni.
 
Back
Top Bottom