Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Mbongo we mchoree duara tu
Atasema huyu ni mtu kabisa
Siwezi kuhoji sana ila kama alikuwa anawatambia wenzake sidhani kama inaweza kuwa sababu ya kumpa sumu.
Yaani maendeleo yake na kupiga picha wamuuwe?
Labda