Ifike pahala ujenzi wa majengo uwe unahakikiwa na wataalam wa serikali

Ifike pahala ujenzi wa majengo uwe unahakikiwa na wataalam wa serikali

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Hili ni kanisa lililoporomoka juzi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa na upepo mkali. Iwapo wangekuwa wanasali siku hiyo kungetokea maafa.

20230413_181726.jpg
 
Wataalamu wapi hao unaowasema?,angalia jiji la Dar lilivyogeuzwa kama uharo wa mtoto mdogo, hakuna open space za public, hakuna underground drainage, yaani ni ushenzi tu,ukiona open space wewe jenga tu...corruption corruption
 
Back
Top Bottom