Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Mkuu unaleta kisa kingine au?😇😇Uongo, labda ungesema alituma elfu hamsini, harafu hakuna uhusiano na kazi anayoifanya au kozi aliyosomea
pole kwa ticha
kozi zote ni muhimu sana, jambo la maana ni bidii katikati kujifunza.Ndio. Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kwenda kusoma uko vyuoni.
Maana maumivu yamekuwa ni mengi wakuu.
Zingatia:: Picha hii haina uhusiano wowote na maelezo ya apo juu. Imetokea tu.
View attachment 3358601
mkuu mpe pole kwanza Mr. tichaMbona title na yaliyomo ndani ni vitu tofauti
🤝🤝Naunga mkono hoja
1 Kuna walimu wako international schools hawana maisha magumuNdio. Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kwenda kusoma uko vyuoni.
Maana maumivu yamekuwa ni mengi wakuu.
Zingatia:: Picha hii haina uhusiano wowote na maelezo ya apo juu. Imetokea tu.
View attachment 3358601
sawa mkuu1 Kuna walimu wako international schools hawana maisha magumu
2 Kuna walimu ni academicians wa vyuo vikuu wana maisha standard tu.
3 Kuna taasisi za elimu pia zinalipa vizuri tu e.g. NECTA, TIE
Hii ni baadhi ya mifano tu, kusoma Education sio kwamba taaluma yako haiwezi kukufaidisha kiuchumi ni kukariri tu. Tuzingatie tu kuwaambia wasome seriously wawe competent
Anyway tusibadili narrative iliyozoeleka tuiache tu ilivyo. UALIMU NI UMASKINI, UALIMU NI LAANA
Mada nzuri na halisi kwa maisha ya sasa ila umezingua kuweka kichekesho kisichoendana na mada.Ndio. Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kwenda kusoma uko vyuoni.
Maana maumivu yamekuwa ni mengi wakuu.
Zingatia:: Picha hii haina uhusiano wowote na maelezo ya apo juu. Imetokea tu.
View attachment 3358601
😂 Nilisahau kidogo hilo janga linastahili pole kubwa. Pole Kwa ticha aiseesawa mkuu
ivi umekumbuka kutoa pole kwa ticha kwanza?
Truekozi zote ni muhimu sana