Salaam Tanganyika!
Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja,
Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu.
Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili wakakutanishwa kwenye Mdahalo,
Likifanyika hili, wananchi watapata Uelekeo sahihi wa kuchukua kuelekea uchaguzi mkuu HOJA kuu zikiwa Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Nawasilisha!!