Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa,
Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa vikiaminiwa kuwa ni adhabu kwa wanafunzi.
ifiike wakati sasa viboko vifutwe kwa kuwa jamii imebadilika sana kwa sasa, na pia kutumia viboko ni kama kuabudu wakoloni kuwa walikuwa sawa kipindi wanaitawala Africa ( mababu zetu kwa kutumia adhabu ya viboko na kumwendesha mwafrika kama mnyama.
NAOMBA serikali iliangalie hili kwani fimbo hazina tija kwa sasa kwani elimu inaweza kuwafikia watu wote bila ya fimbo kutumika.