MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hajaharibu kwa upande wake, kwani lengo lake limetimia. Kumbuka, lipo group lenye kwenda kinyume na SSH, na linammaliza kwa mbinu tofauti ikiwemo ya kutumia gia ya kwamba wanamteteaMimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni mwanaCCM hali inayoleta mshangao. Tusiwe kama BAVICHA ambao hutukana kila mtu hadi viongozi wao.
PreGE2025 - Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah? Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu? https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I "Luhaga Mpina akinyimwa...www.jamiiforums.com
Kuna muda huwa nakubalianaga na wewe na Kuna muda huwaga tunatofautiana.Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni mwanaCCM hali inayoleta mshangao. Tusiwe kama BAVICHA ambao hutukana kila mtu hadi viongozi wao.
PreGE2025 - Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah? Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu? https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I "Luhaga Mpina akinyimwa...www.jamiiforums.com
Muda wenu umeisha, kaburi li wazi lawasubiri, bundi wameshaanza kuranda randa wakiimba parapanda, wachimba kaburi wameshamaliza kazi yao, anasubiriwa mwosha akamilishe kazi yake, historia ya Tanganyika huru iandikwe upya.Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni mwanaCCM hali inayoleta mshangao. Tusiwe kama BAVICHA ambao hutukana kila mtu hadi viongozi wao.
PreGE2025 - Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah? Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu? https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I "Luhaga Mpina akinyimwa...www.jamiiforums.com
Hatuwezi kukubaliana kwenye kila kitu.Kuna muda huwa nakubalianaga na wewe na Kuna muda huwaga tunatofautiana.
Kwenye hili nakubaliana na wewe.
Hapo kaenda kusifia ili apate ubungeMimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni mwanaCCM hali inayoleta mshangao. Tusiwe kama BAVICHA ambao hutukana kila mtu hadi viongozi wao.
PreGE2025 - Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah? Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu? https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I "Luhaga Mpina akinyimwa...www.jamiiforums.com
Sawa ndugu.Hatuwezi kukubaliana kwenye kila kitu.
MENE MENE, TEKELI, NA PERESIBabeli ndio inaanguka
NakaziaBabeli ndio inaanguka