PreGE2025 Ifike wakati CCM izuie makada wake kufanya press conference kiholela. Jerry Muro kaharibu sana

PreGE2025 Ifike wakati CCM izuie makada wake kufanya press conference kiholela. Jerry Muro kaharibu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We Jerry unajua nini katika nchi hii - punguza uchawa.

Gwaji kasema ukweli kama mnaweza mtekeni.
 
Mi nilivyoona ni kama Jerry amewahi kuongea Ili ionekane yeye ndiye alikua mtu Wa kwanza kumjibu Gwajima na yote hayo ni madhara ya uchawa mbona alikua mtu smart sana huyu jamaa? sijui Nini kimempata
 
Ungejua kuna kundi lilimpendekeza/ akajitutumua ajibu nae akijua ndio fursa ya kuchukua ubunge kawe kajipanga na wakamuongezea nondo
 
Eti Amesema Gwajima angetumia maombi kuondoa utekaji. Kwa hiyo kosa la Gwajima ni kuitaka serikali ichukue hatua? Badala yake angeomba tu?
Kutumika kwa hawa machawa kunaibua hisia za nani anahusika
 
Back
Top Bottom