Ifike wakati Mbowe aache ukabila ona hawa Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono

Kuja wajumbe zaidi ya hao, ambao wako against mbowe
 
Umewahi kufuatilia wapemba
Ukabila ndio laana
 
Ila una akili za kipimbi sana! Unasema Wachagga tu wakati humo ndani unewataja mpaka na Wasukuma! Huna akili mkuu!
 
Mbowe hafai kabisa
 
Umeielewa hoja yangu lakini?

Mwl Nyerere alisema mwanasiasa atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu, Mbowe ni mwanasiasa mfu mpaka hapa kwa Ushahidi huu.
Mbona Lissu anaungwa mkono na Padre Dk. Kitima ambaye wanatoka Kijiji kimoja na hakuna noma wala nini!!?
 
Siku chadema ikipata mwenyekiti nje ya mbowe itakuwa imejikomboa rasmi .Itaungwa mkono nchi nzima na watu wa aina zote.Watu wengi hawana Imani na mbowe
 
Huyo Moza Ally pia ni mchepuko wa yule kijana anayehubiri ukabila. Kiufupi ni mkwe wake mwizi
 
Godbless Lema anayempinga Mbowe sio Mchagga? CDM hakuna ukabila wala udini, CHAMA kinapendwa popote. Ukabila na udini CUF, ACT, UDP na CCM.
 
Nyerere alikua mzanaki kutoka Mara,watendaji wengi kwenye serikalu yake walitoka Mara, asilimia kubwa ya jeshi la wananchi walitoka mkoa wa Mara mbona haikua Tatizo? Badilisha mind set yako ama nawe uanzishe chama chako uweke wanafamilia yako kishohia wahed!
 
Kama wa nyumbani kwenu wakikikataa ,wa Kwa jirani ndio watakukubali? Mbowe Yuko sawa Ibadan njema inaanzia nyumbani.

By the way hicho ni chama Chao ndio maana Lema aliambiwa kwamba tabia zake sio za kichaga 😁😁
 
Nilivyong'amua tu kuwa CHADEMA ni SACCOS nikaacha kuishabikia
 
Stupid as stupid does. Sasa ulitaka wachaga wasimchague kwa sababu tu ni mchaga mwenzao? Kumbe fujo hizi ni kwa sababu hamtaki mchaga awaongoze? Si mngesema tu. Mkishinda uchaguzi badilisheni Katiba yenu ili kabila moja lisiongoze kwa awamu mbili mfululizo. Na lisishike nafasi hiyo mpaka makabila mengine yote yamepata nafasi ya uongozi.

Hivyo hivyo kwa dini.

Amandla...
 
Mbowe hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…