Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falsafa iliyopo Chadema mwanzilishi na muendelezaji ni Mbowe. Vyama vingine havina Mbowe na mbona havijajikomboa? Msione vyaelea, vimeundwa! Na Chadema imeundwa na Mbowe!Siku chadema ikipata mwenyekiti nje ya mbowe itakuwa imejikomboa rasmi .Itaungwa mkono nchi nzima na watu wa aina zote.Watu wengi hawana Imani na mbowe
Wewe si umchague Mnyaturu Lisu kwani shida ipo wapi==
Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni.
Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha kuigawa CHADEMA kwa minajili ya Ukabila,
Leo CHADEMA kuelekea Uchaguzi wake mkuu wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono ni Wachaga/wapare
Jana katika press yao ya kikabila iliyofanyika usiku wa manane wakiwa wamelewa chakali,
Mambo yalikuwa hivi,
Kwanza, aliyeongoza Press alikuwa Edward Kinabo ambae ni Mchagga.
Viongozi wengine waliohudhuria Press hiyo ya usiku wa manane ya kumuunga mkono Mchaga mwenzao majina yao ni kama ifuatavyo,
- Mungure Arusha (Mmeru)
- Bahweje Tanga (Mpare)
- Mgonja Kilimanjaro (Mpare)
- Kileo Kinondoni (Mchagga)
- Ntobi Mkoa Wa X (Tweeter)
- Gervas Katibu Manyara (Mkaskazini)
- Aisha Madoga - Dodoma (Mmeru)
- Kiloloma - Temeke (Mchagga)
- Malisa - Morogoro (Mchagga)
- Basil Lema - Kilimanjaro (Mchagga)
- Mungai (Mkikuyu) Iringa
- Masaga Karoli (Mnyaki mix Mchagga) Mwanza
- Bumija - Pwani (Mpare)
- Moza Ally Mushi - Hana cheo (Mchagga)
Bila kuwasahaun Devota Minja, Grace Kiwelu, Suzanna Lyimo, Lucy Ndesamburo hawa wote Wachaga hoja yetu ni kwanini Mbowe Leo anaungwa mkono na Wachaga tu kwani hiki chama nicha kikabila?
Wajumbe kesho kuweni makini hiki chama kimeuzwa tayari ndio hizo mnagawiwa.
====