Ifike wakati Mbowe aache ukabila ona hawa Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono

Na mwenyekit wa uchaguz wa leo anaitwa Raymond Mosha anayetokea BARAZA la wazee wanaosaimamia
 
Ndio maana tunataka kuondoa sura ya ukabila na ukanda chadema. Lissu ni Mnyaturu/mwahi (mmayuta) wa Singida, singida kusini (jimbo la singida mashariki) kanda ya kati. Cha ajabu hana ukabila wala ukanda, hakuna wanyaturu wala wakanda ya kati wanaomshadidia kwenye kampeni zake huko chadema, badala yake anaungwa mkono na taifa zima
 
Siku chadema ikipata mwenyekiti nje ya mbowe itakuwa imejikomboa rasmi .Itaungwa mkono nchi nzima na watu wa aina zote.Watu wengi hawana Imani na mbowe
Falsafa iliyopo Chadema mwanzilishi na muendelezaji ni Mbowe. Vyama vingine havina Mbowe na mbona havijajikomboa? Msione vyaelea, vimeundwa! Na Chadema imeundwa na Mbowe!
 
Wewe si umchague Mnyaturu Lisu kwani shida ipo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…