Ifike wakati serikali ione umuhimu wa Simba katika kuitangaza na kuiletea sifa nzuri nchi yetu

Ifike wakati serikali ione umuhimu wa Simba katika kuitangaza na kuiletea sifa nzuri nchi yetu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
"Vipigo vikali ambavyo Simba Sc wameshavitoa wakiutumia uwanja WA taifa Benjamin Mkapa Stadium Dar Ea Salaam Tanzania [emoji1241]

Kuanzia Mwaka 2019 Mashindano mbali mbali

Al ahly [emoji736] 1-0
As vita [emoji736] 2-1
TP mazembe [emoji1666]0-0
As vita [emoji736]4-1
Al ahly [emoji736]1-0
Al merrekh [emoji736]3-0
Kaizer Chief [emoji736]3-0
Raja AC[emoji735]0-3
Vipers [emoji736]1-0
Horoya[emoji736]7-0
Sevilla[emoji777]4-5
Waydad Casablanca Anasubiliwa kwa mkapa

Simba Sc 4-1 Utopolo
Simba Sc 5-0 Utopolo

16/04/2023 Simba Sc Vs Young Africans

Huu uwanja wauziwe Simba Sc maana wanajua kuuheshimisha hapo Kuna goli nne nne Tano Tano mpaka Saba halafu tarehe 16 mtu anakutana na nyingi tena maaana hakuna uchawi utashika mwezi mtukufu wa Ramadan [emoji23][emoji1673][emoji1679]"

FB_IMG_1680975294854.jpg
 
Tatu Mzuka fc kwenye ubora wako! Nyie Mmepigwa nje ndani tatu tatu na Raja labda mtangaze ndondo cup!

Hamna kombe hata moja mtangaze Nini?
 
Tatu Mzuka fc kwenye ubora wako! Nyie Mmepigwa nje ndani tatu tatu na Raja labda mtangaze ndondo cup!

Hamna kombe hata moja mtangaze Nini?
Manara apewe udaktari wa heshima....

We zumbukuku hapa tunazungumzia game zilizopigwa BENJAMIN MKAPA STADIUM
 
"Vipigo vikali ambavyo Simba Sc wameshavitoa wakiutumia uwanja WA taifa Benjamin Mkapa Stadium Dar Ea Salaam Tanzania [emoji1241]

Kuanzia Mwaka 2019 Mashindano mbali mbali

Al ahly [emoji736] 1-0
As vita [emoji736] 2-1
TP mazembe [emoji1666]0-0
As vita [emoji736]4-1
Al ahly [emoji736]1-0
Al merrekh [emoji736]3-0
Kaizer Chief [emoji736]3-0
Raja AC[emoji735]0-3
Vipers [emoji736]1-0
Horoya[emoji736]7-0
Sevilla[emoji777]4-5
Waydad Casablanca Anasubiliwa kwa mkapa

Simba Sc 4-1 Utopolo
Simba Sc 5-0 Utopolo

16/04/2023 Simba Sc Vs Young Africans

Huu uwanja wauziwe Simba Sc maana wanajua kuuheshimisha hapo Kuna goli nne nne Tano Tano mpaka Saba halafu tarehe 16 mtu anakutana na nyingi tena maaana hakuna uchawi utashika mwezi mtukufu wa Ramadan [emoji23][emoji1673][emoji1679]"

View attachment 2581360
Simba 3 - 0 js soura
 
Kajamaa bwana na vithread vyake vya mpira vya hovyoo. Huyo simba anayefungwa kila mara nayo ni timu.
 
"Vipigo vikali ambavyo Simba Sc wameshavitoa wakiutumia uwanja WA taifa Benjamin Mkapa Stadium Dar Ea Salaam Tanzania [emoji1241]

Kuanzia Mwaka 2019 Mashindano mbali mbali

Al ahly [emoji736] 1-0
As vita [emoji736] 2-1
TP mazembe [emoji1666]0-0
As vita [emoji736]4-1
Al ahly [emoji736]1-0
Al merrekh [emoji736]3-0
Kaizer Chief [emoji736]3-0
Raja AC[emoji735]0-3
Vipers [emoji736]1-0
Horoya[emoji736]7-0
Sevilla[emoji777]4-5
Waydad Casablanca Anasubiliwa kwa mkapa

Simba Sc 4-1 Utopolo
Simba Sc 5-0 Utopolo

16/04/2023 Simba Sc Vs Young Africans

Huu uwanja wauziwe Simba Sc maana wanajua kuuheshimisha hapo Kuna goli nne nne Tano Tano mpaka Saba halafu tarehe 16 mtu anakutana na nyingi tena maaana hakuna uchawi utashika mwezi mtukufu wa Ramadan [emoji23][emoji1673][emoji1679]"

View attachment 2581360
Tajeni vizuri haya matokeo.
Screenshot_20230213-073317_Twitter.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom