Ifike wakati tuache kujifanya tujuwa sana kuliko wengine.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Nimekaa natafakuli hv kulikuwa na sababu gani ya msingi Yanga wasipeleke timu kwenye mashindano ya Kagame? Je simba walishindwa nn nawao kupeleka timu yao kule?

Mbona TP mazembe na KCCA pamoja na Gori mahia wamepeleka timu? Hv nikwamba sisi tunajiona no miamba ya soka Afrika mashariki na kati kwamba bila timu za simba na yanga mashindano hayatofanyika? Eti sisi yanga tumeweka kambi morogoro kujiandaa na msimu ujao, hv tukekuja kufanya mazoezi kwenye hii michuano tungepungukiwa nn kama timu?

Mwisho niwapongeze wanyaruanda maana uwanjani wanajaa kama wote yani wamewazidi mpaka wamisri kuudhulia uwanjani awabagui timu kubwa au ndogo wao kila mechi wapo tu.
 
Good observation.Misri kama Tanzania,raia hawaendi viwanjani!
 
Wataachaje kujaa wakati hakuna kiingilio
 
Wewe utakuwa unatumiwa na yule Nkurunzinza Nicolas Musonye bila shaka! Waache Simba na Yanga wafanye vile wanavyo ona inafaa kwa mujibu wa taratibu zao za kila siku maadam tu hawavunji sheria.
 
Back
Top Bottom