Ifikie muda tumheshimu Maua Sama kama best female musician hapa Bongo

Best female musician bongo.......!! Sasa bongo tumeishiwa kweli hawa female musician..... yaani na huyu anawazwa kuwa...!!!
Wewe haujui mziki ni shabiki wa team za wasanii so shut up
 
Hivi huyo demu anasubiri nini kuolewa mpaka sasa
 
Hata lebel yake haijulikani huwa anaonekana studio kwa kimambo
Shida sio lebo shida nikuchana tukakuelewa
Wazamani
lady jay dee ,ray c, na
Wazamani wanaojua mistari
maua sama , nandy, rose lyn,zuchu kwa sababu ya huu wimboo wa litawachoma
 
Huyo mtoto huwa 'nammezea mate' sana.

Inaonekana hajatumika sana huyo binti.
 
Maua sama siku hizi anapoteza ladha, amesahau kilichomtoa kimuziki kuwa ni kuimba mapenzi na sio kuimba ngono. Sikuizi anapenda sana kuimba ngono mpaka nahofia ameshakuwa kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…