Ifikie muda tumheshimu Maua Sama kama best female musician hapa Bongo

Ifikie muda tumheshimu Maua Sama kama best female musician hapa Bongo

Hata lebel yake haijulikani huwa anaonekana studio kwa kimambo
Shida sio lebo shida nikuchana tukakuelewa
Wazamani
lady jay dee ,ray c, na
Wazamani wanaojua mistari
maua sama , nandy, rose lyn,zuchu kwa sababu ya huu wimboo wa litawachoma
 
Huyo mtoto huwa 'nammezea mate' sana.

Inaonekana hajatumika sana huyo binti.
 
Huyu dada hajawahi kukwama kwenye kutoa ngoma kali zenye ujazo na ujumbe conki huku zikiambatana na beats kali na melody classic. Sio kuwajaza misifa akina zuchu kila uchwao kwa promo za kuforce

Duuh hii ngoma mpya ya Can dance inanipa burudani sana pande hizi za bukoba mjini hongera sana maua sama
Maua sama siku hizi anapoteza ladha, amesahau kilichomtoa kimuziki kuwa ni kuimba mapenzi na sio kuimba ngono. Sikuizi anapenda sana kuimba ngono mpaka nahofia ameshakuwa kahaba
 
Back
Top Bottom