IFM hawajapeleka maijina NACTE

IFM hawajapeleka maijina NACTE

nilianz kuomb kweny system...wakazngua,nkawafata zaid ya mara 3...naona wananizngua tu mpaka nkakata tamaa ya kuwafata....ila nkakaa nikawa nachunguliachngulia kila sku kweny system nkaona control number imkuja nkalipia 20,000 chap nkapata.
Hawa jamaa na system yao,hawakujipanga kiukweri...!
 
Nilitumiwa ivi nilivo omba chuo yAan ata cjaerewa ndo nimekubakuwa mana
Screenshot_20201021-123004.jpg
 
Eeh nasikia wanafanya hivi ili uendelee hapohapo yaan muda wa udahili ukiisha wanakwambia uendelee chuon humohumo kwahy wanakulazimisha usome hapo wanazingua kwel yaan
Mkuu iwe muda wa udahili umepita au ahujapita, hakuna chuo kinaweza kumbakisha mwanafunzi aliyemaliza Diploma kuendelea hapo kusoma shahada ya kwanza bila kuthibitishwa na TCU ambao wanategemea uthibitisho kutoka NACTE. Story nyingine sio za kweli.
 
Tambua kuwa wataalamu wa IT wanauwezo wa kukutafutia AVN Kama utawapa datail zako za kitaaluma!!!!
 
Back
Top Bottom