Ifm ifm

Ifm ifm

Wakuu Tution fee kwa sisi wa BA
Tc Nill...haina loan... nataka kujua kuhusu
malipo...unalipa yote 1,500,000 au inakuaje
wadau Tujuzane...wakuuu
 
Duu, wanafunzi wangu wapya wamo JF.Mkini challenge humu, nawakamata kwenye mitihani ha-ha-ha-ha.
 
Wakuu Tution fee kwa sisi wa BA
Tc Nill...haina loan... nataka kujua kuhusu
malipo...unalipa yote 1,500,000 au inakuaje
wadau Tujuzane...wakuuu

Unalipa 60% ya ada semister ya kwanza halaf nyengine unamalizia ya pili
 
Me naona kuhusu tution fee 2subiri loan board kwani watalocate loan amount kwa kila cozi,xo hapa nisala 2 coz unaweza toka kapa.
 
emu tusaidiane wakuu, jamaa wameni2pa BA ila ktk machaguo yangu cjachagua kabisa ifm, imekaaje hii ki2 jamani?

Samethn here...kwanza hizo feez daaah!!cjazisoma kabisa and zote ni non-priority japokuwa wameni2pa CS..
 
Me naona kuhusu tution fee 2subiri loan board kwani watalocate loan amount kwa kila cozi,xo hapa nisala 2 coz unaweza toka kapa.

Hapo ni kujipanga 2.'z course zote za ifm ni nonpriority..c CS or IT xo sisi wa kayumba!!!!wanatuweka katika wakati mgumu kchz ukizingia tcu hapo ifm wamenipeleka wenyewe out of ma choice.
 
Mmh?wakuu kwahiyo nisitegemee kitu chochote toka loan board au
 
Back
Top Bottom