Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani wakuu
[h=2]"tunarnda "hiyo ni typing error nlikuwa namaanisha "tunaripoti lini?"[/h]
OK, kwa kawaida itakua around 10 oct ila kwa mwaka wa pil ni 30sept na regratn dedline yao ni 14oct.. ila watatoa tareh sahihi hv punde so kua mvumilivu kiduchu......karibu sana IFM
HIVI WAKUU IFM MWAKA WA KWANZA TUNARIPOTI LINI NA PIA NYIE WENGINE MNAFUNGUA LINI?(MWAKA WA PILI NA WENGNE):A S-key:
Hujasomapo nini? Kawaida mwaka wa kwanza ndo uwaga wanatangulia na wanatakiwa chuoni trh 15 au 16 na mwaka wa pili na kuendelea ni tarehe 21/10
nasomapo had sasa..mwaka wa 2 nakuendelea wanafungua chuo 30sept mwaka wa1 wata2kuta oct....so acha ratiba zako za enzi za Advanced Diploma....
wrong page kid...
Usinibishie kijana sababu hujui hata unabishana na nani sawa? Tunafungua chuo october 21 sababu ya ucheleweshaji wa hela za mikopo wewe ndo unakuja kuanza mwaka wa kwanza tulia sisi wakubwa zako tukufunze. Hujui hata mazingira ya shule unajifanya unajuuuuuua. Hujui kitu aloo usinibishie.
ckiliza we mzee kwa mwaka wa 2 nakuendelea chuo kina funguliwa tarehe 30 sept na regstratn kuanza had tareh 15 oct ambayo ndio tareh ya kuanza kwa masomo kwa mwaka wa 2 na 3...hao wa mwaka wa kwanza ndokama tangazo hapo juu linavyo jieleza...kama una bisha kunatangazo kwenye notes body..mbele ya TH-A naomba kasome..k..@..z...