kwa wale walioko chuo hiki au yeyote mwenye msaada wa taarifa. Kwenye join kuna maelekezo kuwa ili upate usajili hapo IFM ni lazima ulipe 1,150,000 mi naona kama hii ni hela kubwa sana kwa kuanzia hasa kwa sisi ambao hatujapata mkopo wa bodi. Swali ni je, wanaweza kukupokea bila kulipa kiasi hiki au kwa kulipa fedha chini ya kiasi hiki? Msaada please.....