IFM Registration

IFM Registration

umbwa

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
25
Reaction score
1
kwa wale walioko chuo hiki au yeyote mwenye msaada wa taarifa. Kwenye join kuna maelekezo kuwa ili upate usajili hapo IFM ni lazima ulipe 1,150,000 mi naona kama hii ni hela kubwa sana kwa kuanzia hasa kwa sisi ambao hatujapata mkopo wa bodi. Swali ni je, wanaweza kukupokea bila kulipa kiasi hiki au kwa kulipa fedha chini ya kiasi hiki? Msaada please.....
 
Akupokee nani,lazima ulipe asilimia 60 kwnza

Ipo hivi hiyo asilimia 60 isikutishe unaweza kuwaomba kwa semister ya kwanza kulipa kwa installment na si lazima hela yote so fanya mpngo ukawaone ili wakupe mwongozo pia soma vizuri zile form za registration pale kwenye vipengele vinavyoonyesha ada unayotakiwa kulipa kwa semister ya kwanza kuna mahali pameandikwa hivi
8.5..HOWEVER STUDENTS MAY BE PERMITTED BY THE REGISTAR TO PAY FESS IN TWO INSTALLMENTS AFTER PROVIDING SATISFACTORY REASONS....
HAPO utakuwa umenielewa mkuu
 
Back
Top Bottom