IFM sio Chuo???

hahahah kweli wewe ndio kichwa maji hivihao wanaosoma IFM hawapati kazi mtaani?na kama wanapata wanaowaajiri ni vilaza nao ?wacha ujinga kabisa nyinyi ndio mnaosema shule za akademia ni nzuri zaidi kiuhalisia ni kweli lakini je waliosoma hizo shule ZA KAYUMBA hawafanikiwi?
hawa
1. UDSM
2. SUA
3. MZUMBE
4. UDOM
ALL IN ALL TUNATAKIWA TUPATE KILE TUNACHOKIITAJI KATIKA MAISHA ,HIKI NDIO MUHIMU ,KAMA WANAPATA HAO SIJUI IFM,DIT,TAALUMA INAYOWASAIDIA KUPATA KAZI NZURI NA KUWEZA KUJIAJIRI MI SINA TATIZO,
 

Lecturer mdau,hiyo ipo vyuo vingi tu, hata wasichana hutoa RUSHWA YA NGONO,,,,,,,
 

kuna kitu kinaitwa DIPLOMA DESEASE,,,,HIKI NIDICHO KIMETUFIKISHA HAPA KWENYE MJADALA HUU,,,,,
 
dahh.ngoja nijichekee tuuuuu..ahhhhhhhhhhhhh..ila inauma kuzalilisha chuo wanachosoma watanzania kama wewe wote hatuwezi kwenda sehemu moja
huyo jamaa nimemsoma ni sawa na anawaza kwakutumia masaburi hawazi mbali ana urojo kichwani na inawezekana kabisa hata boss wake ametoka kwenye hivyo vyuo anavyovidharau
 
Nyie dharauni tuuu lakini jua kuwa hivyo vyuo vimewapatia watu maisha bora ,kazi nzuri na kufikia malengo yao tena na zaidi,ni wewe tu kujua unachokitafuta chuo hicho ni kizuri ila huyo msomaji namazingira ya hicho chuo na kuiga kwingi ndio kinachokufanya mjudge like that.mimi sio muhusika ila nafanya kazi na hao watu na ni wazuri kiufanisi ,
 
kuna kitu kinaitwa DIPLOMA DESEASE,,,,HIKI NIDICHO KIMETUFIKISHA HAPA KWENYE MJADALA HUU,,,,,
Bajabiri habari za siku nyingi mkuu,lakini nasikia siku hizi hakitoi hizo A-Diploma AU ULIMAANISHA NINI MKUU
 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa nimemsoma ni sawa na anawaza kwakutumia masaburi hawazi mbali ana urojo kichwani na inawezekana kabisa hata boss wake ametoka kwenye hivyo vyuo anavyovidharau

ni kweli mkuu masuala ya kuangalia shule uliyosoma,chuo ni ya kizaman sasa hivi ni kuangalia contents ulizonazo kutokana na course uliyosoma
 

Huna hoja na hujui unachokiandika ka vp kaa chini? Tena bila shaka wewe ulitaga A-level na unasoma certificate pande hz !!
 
Ofkoz sio chuo,bali ni taasisi,vyuo ni kama,sua,ud,mzumbe,udom na saut-main cumpus.

Inamaana ambavyo hujavitaja sio vyuo?

IFM poa sana jioni ukiwa na usafiri unajichagualia watoto saafii. Atakuuliza tu utamrudisha saa ngapi. Wazee wenzangu mkizidiwa IFM ndio chimbo, mbuga za wanyama pale. Msihangaike kwenda mbali kama huna muda wa kutosha, ukizidiwa sana shaashaa unazama bwenini ah ukitoka mwepesii. Wanatutunza hapa mjini.
 
Huna hoja na hujui unachokiandika ka vp kaa chini? Tena bila shaka wewe ulitaga A-level na unasoma certificate pande hz !!

wewe unaakili za kimasaburi na pia unakula bwimbwi vile kufauli au kufeli its nothing about life akili zako ni sawa na id yako wewe ni empty set katika maisha tena ni mtoto mdogo sana kulingana na hoja zako ,kwa hiyo unawambia waliochaguliwa IFM wasiende au.toa hoja za msingi mtoa mada aelewe.mimi sijasoma vyuo vyakikunyanzi kama wewe
 
ivi taaluma nzuri ni chuo au mental capability ya mtu,unaweza soma ud ukatoka pale na degree class ya chin na ukazidiwa na mtu alikua akisoma ivo mcvoviita vyuo chamsingi ni kujua we kama student why you there where you are...na kumbuken waswahili husema 'USITUKANE MKUNGA INGALI UZAZI UNGALIPO' wakuu inafaa mjipange tena sana mnapokwenda nawasilisha wadau
 
This is the world where everyone claim to be speaking the truth.
"mtaani ndio kipimo cha usomi wako"
 
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM):loco:




Ha ha haaaaaaaaaaaa! Duh!Bwana mdogo unakashifu sana aisee!!Kwahiyo ni taasisi ya kuwasimamia waliofeli?Hebu acheni kupigana madongo vijana someni mlijenge taifa.
 
Unafuata elimu au sifa ya chuo? We soma pata elimu nenda zako.
 
Time has no recycling,bora kupata hata kama ni taasisi kuliko nothing at all
 
IFM ni chuo kizuri sana kama tu umeenda kusoma!! Kama umeenda kwa matakwa ya kuuza sura na kutafuta vidosho kama yule rafiki yangu alitafuta mbinu ya kuwapata wale mabinti pale akakosa basi akaona ngoja aka-enroll computer ili ajidai anasoma. Akimpata mzuri anamwambia tu "wewe naona unajua computer hebu twende ukanifundishe kidogo (hotelini)..... Ha ha ha..... na mambo anamaliza".
 
Kwa kifupi inawezekana wengi hawakuchagua IFM sababu ya issue ya mikopo... walivoona ni non-priority wakaamua kupiga chini na kama ujuavyo Watanzania wengi hawana uwezo mkubwa wa kifedha so ndo maana wengi wakapiga chini. Hivyo baada ya kuona kuwa Chuo kitakosa watu TCU wakaamua kuwapeleka huko.
 

hapo udom itoe kabisa, haina hadhi ya kuwa nafasi hiyo, tumaini, saut utafanisha na udom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…