Udsm ni chuo changu lakini kama wanafunzi wa miaka hii ni kama wewe basi hamstahili hata kuwepo hapo.Kuna univeristy, collage, faculty, school, instute, depatment and unit...kama utaweza kutofautisha utaweza kuelewa university ina hadhi gani ila ifm ni kama unavyoweza kuiona ids (instute of development studies) udsm..
Kwa hiyo ng'amua mwenyewe kwa hizo rank kama upo chuo au taasisi?
udsm ni chuo changu lakini kama wanafunzi wa miaka hii ni kama wewe basi hamstahili hata kuwepo hapo.
As long as any institution is qualified to receive accreditation from the responsible authorities in any country, then it can offer degrees.
That's why kuna top schools like
mit
dartmouth college
boston college
london schoo of economics
georgia institute of technology/georgia tech
esami
ifm and so many others
kumbe ni top schools na si universities...
University ina comprise vitu vingi ikiwa ni pamoja na colages na nk mpaka unit..but instute haiwezi kuwa na colage, faculty nk ila inaweza kuwa na depatment na unit..ingawa ina creditation ya ku offer degree...
rejea mada sio unayumba yumba tu..(ifm sio chuo) basi naita univesity of financial and management na sio kama kinavyoitwa istute of financial and management ..thn we unajiita unasoma chuo cha taifa? Alaf ubongo wako una 2kb...kazi kwelikweli....angalia unavyozidi kujidhalilisha!!
Ukisema top schools that includes universities.
In the us tunaita top schools
rejea mada sio unayumba yumba tu..(ifm sio chuo) basi naita univesity of financial and management na sio kama kinavyoitwa istute of financial and management ..thn we unajiita unasoma chuo cha taifa? Alaf ubongo wako una 2kb...kazi kwelikweli....
Udsm kama wanafunzi miaka hii ni kama wewe basi ni majanga tu.rejea mada sio unayumba yumba tu..(ifm sio chuo) basi naita univesity of financial and management na sio kama kinavyoitwa istute of financial and management ..thn we unajiita unasoma chuo cha taifa? Alaf ubongo wako una 2kb...kazi kwelikweli....
labda tuanzie hapa kukuelewesha..udsm kama wanafunzi miaka hii ni kama wewe basi ni majanga tu.
Mnaidhalilisha shule yangu. Whether a phd comes from mit or udsm, they are both phds.
No wonder udsm imebaki jina tu siku hizi. Pathetic!!!
KUBALI TU KUWA SHULE YA Ifm ni rahisi(40)!,
g.p.a ya 3.5 ya ifm ni = 2.5 sua(MUCCoBS), KAMA C YENU NI 4O% UKIWA NA C ZOTE UNAWEZA UKAWA NA G.P.A YA 2..., WAKATI UKIJA MUCCoBS(SUA), KWA HIZO C ZA 40S UNAJIKUTA NA G.P.AYA 1.5,
Unasoma muccobs??...bado hyo muccobs haijafika standard ya ifm kasome prospectus ya ifm..ifm.ac.tz..utajifunza kitu.. Proposal ipo mezani sio muda mrefu wataanza mutoa masters ya social security inayotolewa na nchi mbili duniani..manstritch university ya uholanzi ambayo pia wana branch mauritius na china, Shanghai university na ifm inaongezeka hapo..
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Unasoma muccobs??...bado hyo muccobs haijafika standard ya ifm kasome prospectus ya ifm..ifm.ac.tz..utajifunza kitu.. Proposal ipo mezani sio muda mrefu wataanza mutoa masters ya social security inayotolewa na nchi mbili duniani..manstritch university ya uholanzi ambayo pia wana branch mauritius na china, Shanghai university na ifm inaongezeka hapo..
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
labda tuanzie hapa kukuelewesha..
Istute na university unazitofautishaje? Na
kipi huwa ndani ya mwenzake yaani university inaweza kuwa ndani ya instute au instute inaweza kuwa ndani ya university? Na
zina creditation sawa kitaifa na kimataifa?
Maana hoja yako ni uwezo wa kutoa degree tu ndo unayosimamia angalia hata zoom usije ukaita university? Kama itaanzisha degree bila kuangalia vigezo vingine vya kuitwa univesity
safi kaka mkubwa umetisha sanah..ifm hakiwez kuwa chuo!! watu wako pale ki-fashion zaid na wala sio kusoma!!!
IFM sio chuo kikuu kwa taarifa yako....hiyo ni INSTITUTE au taasisi tu..inatoa NON DEGREE PROGRAMMES...ukisoma pale elimu yako haitambuliki kwa kiwango cha degree ULIMWENGUNI,,kama unabisha kisome kitabu cha T.C.U kurasa za mwanzo mwanzo kabla ujaingia kwenye mabainisho ya couz za vyuo...USIKONDE PIGA MSULI TU,,,,ata mwana FA alisoma hapo...BEST WISHES,,,KARIBU UDSM
Kuna univeristy, collage, faculty, school, instute, depatment and unit...kama utaweza kutofautisha utaweza kuelewa university ina hadhi gani ila ifm ni kama unavyoweza kuiona ids (instute of development studies) udsm..
Kwa hiyo ng'amua mwenyewe kwa hizo rank kama upo chuo au taasisi?
Ni taasisi kile sio chuo