IFM sio Chuo???

IFM sio Chuo???

Kuna univeristy, collage, faculty, school, instute, depatment and unit...kama utaweza kutofautisha utaweza kuelewa university ina hadhi gani ila ifm ni kama unavyoweza kuiona ids (instute of development studies) udsm..
Kwa hiyo ng'amua mwenyewe kwa hizo rank kama upo chuo au taasisi?
 
Udsm ni chuo changu lakini kama wanafunzi wa miaka hii ni kama wewe basi hamstahili hata kuwepo hapo.
As long as any institution is qualified to receive accreditation from the responsible authorities in any country, then it can offer degrees.
That's why kuna top schools like
MIT (Massachusetts Institute of Technology)
Dartmouth college
Boston College
London schoo of economics
Georgia Institute of technology/Georgia Tech
Esami
Ifm and so many others

Bora ukae kimya kuliko kuandika usichokijua
 
udsm ni chuo changu lakini kama wanafunzi wa miaka hii ni kama wewe basi hamstahili hata kuwepo hapo.
As long as any institution is qualified to receive accreditation from the responsible authorities in any country, then it can offer degrees.
That's why kuna top schools like
mit
dartmouth college
boston college
london schoo of economics
georgia institute of technology/georgia tech
esami
ifm and so many others

kumbe ni top schools na si universities...
University ina comprise vitu vingi ikiwa ni pamoja na colages na nk mpaka unit..but instute haiwezi kuwa na colage, faculty nk ila inaweza kuwa na depatment na unit..ingawa ina creditation ya ku offer degree...
 
Angalia unavyozidi kujidhalilisha!!
Ukisema top schools that includes universities.
In the US tunaita top schools
 
angalia unavyozidi kujidhalilisha!!
Ukisema top schools that includes universities.
In the us tunaita top schools
rejea mada sio unayumba yumba tu..(ifm sio chuo) basi naita univesity of financial and management na sio kama kinavyoitwa istute of financial and management ..thn we unajiita unasoma chuo cha taifa? Alaf ubongo wako una 2kb...kazi kwelikweli....
 
Udsm kama wanafunzi miaka hii ni kama wewe basi ni majanga tu.
Mnaidhalilisha shule yangu. Whether a PhD comes from MIT or Udsm, they are both phds.
No wonder udsm imebaki jina tu siku hizi. Pathetic!!!
 
Hahaha..nafurahisha sana. Nendeni mkasome vijana afu mkitoka vyuoni mje mtaani kupigania maisha. Ngoja niseme,mimi nimesoma IFM,na imenisaidia sana sana sana.. Kwanza ni changamoto nilizozikuta pale..vijana wadogo wanafanya kazi huku wanasoma. Nilitumia muda wangu wa ziada kusoma na nikapata kazi ya full time nikiwa mwaka wa kwanza mwishoni. Sasa endeleeni kubishana chuo sijui taasisi mie gamba langu linasoma bachelor degree.
 
udsm kama wanafunzi miaka hii ni kama wewe basi ni majanga tu.
Mnaidhalilisha shule yangu. Whether a phd comes from mit or udsm, they are both phds.
No wonder udsm imebaki jina tu siku hizi. Pathetic!!!
labda tuanzie hapa kukuelewesha..
Istute na university unazitofautishaje? Na
kipi huwa ndani ya mwenzake yaani university inaweza kuwa ndani ya instute au instute inaweza kuwa ndani ya university? Na
zina creditation sawa kitaifa na kimataifa?

Maana hoja yako ni uwezo wa kutoa degree tu ndo unayosimamia angalia hata zoom usije ukaita university? Kama itaanzisha degree bila kuangalia vigezo vingine vya kuitwa univesity
 
KUBALI TU KUWA SHULE YA Ifm ni rahisi(40)!,
g.p.a ya 3.5 ya ifm ni = 2.5 sua(MUCCoBS), KAMA C YENU NI 4O% UKIWA NA C ZOTE UNAWEZA UKAWA NA G.P.A YA 2..., WAKATI UKIJA MUCCoBS(SUA), KWA HIZO C ZA 40S UNAJIKUTA NA G.P.AYA 1.5,

Unasoma muccobs??...bado hyo muccobs haijafika standard ya ifm kasome prospectus ya ifm..ifm.ac.tz..utajifunza kitu.. Proposal ipo mezani sio muda mrefu wataanza mutoa masters ya social security inayotolewa na nchi mbili duniani..manstritch university ya uholanzi ambayo pia wana branch mauritius na china, Shanghai university na ifm inaongezeka hapo..

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
IFM NI TAASISI NA MUCCoBS(SUA) NI CHUO KIKUU!MWANAFUNZI WA IFM MWENYE G.P.A YA 3.5= 2.5 MUCCoBS(SUA), C YAKO WEWE WA IFM NI D/E YA MUCCoBS(SUA), NA B YAKO = C YA MUCCoBS(SUA)
 
Unasoma muccobs??...bado hyo muccobs haijafika standard ya ifm kasome prospectus ya ifm..ifm.ac.tz..utajifunza kitu.. Proposal ipo mezani sio muda mrefu wataanza mutoa masters ya social security inayotolewa na nchi mbili duniani..manstritch university ya uholanzi ambayo pia wana branch mauritius na china, Shanghai university na ifm inaongezeka hapo..

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

HAHAHA SOCIALPROTECTION? ? , MUCCoBS(SUA) KUNA KOZI INAITWA C.M.A(COOPERATIVE MANAGEMENT&ACCOUNTING) INATOLEWA MUCCoBS TUU KUNA WAGENI TOKA NCHI ZA NJE WEENGII SANA!!, UNAIJUMA BA-MFED(MICROFINANCE ENTERPRISE DEVPT), INATALOWA MUCCoBS TUUU
 
labda tuanzie hapa kukuelewesha..
Istute na university unazitofautishaje? Na
kipi huwa ndani ya mwenzake yaani university inaweza kuwa ndani ya instute au instute inaweza kuwa ndani ya university? Na
zina creditation sawa kitaifa na kimataifa?

Maana hoja yako ni uwezo wa kutoa degree tu ndo unayosimamia angalia hata zoom usije ukaita university? Kama itaanzisha degree bila kuangalia vigezo vingine vya kuitwa univesity

Nasubiri unieleweshe
 
safi kaka mkubwa umetisha sanah..ifm hakiwez kuwa chuo!! watu wako pale ki-fashion zaid na wala sio kusoma!!!

Kwahyo mnataka kusema kuwa IFM, DIT, TIA sio vyuo? Hv unakijua NELSON MANDELA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY kam unakifaham kaa kimya sasa and what about MASSACHUSSETS INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) hki n taasisi but imo kwenye TOP 5 UNIVERSITIES IN THE WORLD na ndo chuo kinachoongoza kutoa good passonels in engineering especially electrical and computer science.. sas utaniambia hiki ni chuo cha kata?? Think twice before you conclude.. wana Ifm DIT TIA IAA kimbiza ahooooooo....
 
IFM sio chuo kikuu kwa taarifa yako....hiyo ni INSTITUTE au taasisi tu..inatoa NON DEGREE PROGRAMMES...ukisoma pale elimu yako haitambuliki kwa kiwango cha degree ULIMWENGUNI,,kama unabisha kisome kitabu cha T.C.U kurasa za mwanzo mwanzo kabla ujaingia kwenye mabainisho ya couz za vyuo...USIKONDE PIGA MSULI TU,,,,ata mwana FA alisoma hapo...BEST WISHES,,,KARIBU UDSM

Acha uongo elimu umepata kidog unashndwa kuitumia kufanya ata karesearch cha kiwango chako hiv nan alikwambia kuwa ukisoma kwenye taasisi degree yako haitambuliki kwa hyo unataka kunambia kuwa aliesoma Eckenford Tanga university na wa IFM wa eckenford atakuwa juu??? Achen kujidanganya waliowaletea informal education wenyew wanazipa respect hzo institure eg mzuri ni Massachussets inatitute of technolgy, kings college london, Boston college alau ww wa tanzania ndo unajifanya unazidharau... acha upumb..avu wew au ndo umetoka kijijin ndo mara yako ya kwanz kuja dar na ulikuwa unackia tu kuwa chuo tz kipo kmoja tu yaan UDSM??????????
 
Kuna univeristy, collage, faculty, school, instute, depatment and unit...kama utaweza kutofautisha utaweza kuelewa university ina hadhi gani ila ifm ni kama unavyoweza kuiona ids (instute of development studies) udsm..
Kwa hiyo ng'amua mwenyewe kwa hizo rank kama upo chuo au taasisi?

Acha kudanganya watu inaanza university, institute , college, school, fuculty, depatment.
Insitute inaahaugulika na kutoa fan ya aina moja ndo maana unaona DIT course zake zote ni engineering na technology wakt UDSM ipo mpaka sociology and archielogy... but uulniversity huwa inakuwa pana na kutoa fan mbalmbali labada kama hyo university ispecialize kwenye fani moja eg university of california ambayo inatoa sansana fani za technology
 
Kilaza cku zote huogopa ifm,acha sie tugraduate palepale,then tuonane kwny compttn yaa ajra.
 
Ni taasisi kile sio chuo

Nenda kaulize NACTE watakupa jibu sahihi...au siku fika ifm afu soma lile bango pale geti la ifm upande wa makumbusho uone wameandika taasisi ya usimamizi wa fedha au chuo cha usimamizi wa fedha...haha mnaikashifu kwasababu mnajua mkiingia tu hata semestr ya 2 hutanusa..yan mtagraduate semestr ya 1 tu ya yr 1...pale hata ukiingia una akili 2 lazma ukimaliza 3 yr utakua level zingine kabs..nakukaribisha uonje utam wa IFM$
 
we, nenda kasome acha kusikiliza maneno ya watui ila kiukweli IFM sio chuo ni taasisi
 
Back
Top Bottom