C cape town Member Joined May 28, 2013 Posts 40 Reaction score 42 Aug 30, 2013 #1 Mod plz move this thread to the other related thread. Plz mod do that
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Aug 30, 2013 #2 Aaagh sasa kabla hujaweka thread uangalie kwanza...zipo 3 za hivi hivii kaka....ila tupo pamoja
cyprian6 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 308 Reaction score 46 Aug 30, 2013 #3 Tatizo ni hostel hapo inabidi muwahi huko kigamboni au muandike mapema barua za hostel mkichelewa zitaisha..alaf kigamboni vyumba vya karibu na feri vipo vichache na nyie mwaka wenu mnaonekana mpo wengi kweli kweli..
Tatizo ni hostel hapo inabidi muwahi huko kigamboni au muandike mapema barua za hostel mkichelewa zitaisha..alaf kigamboni vyumba vya karibu na feri vipo vichache na nyie mwaka wenu mnaonekana mpo wengi kweli kweli..
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Aug 30, 2013 #4 Mbrazili said: Aaagh sasa kabla hujaweka thread uangalie kwanza...zipo 3 za hivi hivii kaka....ila tupo pamoja Click to expand... Watu wanashindana kuanzisha thread
Mbrazili said: Aaagh sasa kabla hujaweka thread uangalie kwanza...zipo 3 za hivi hivii kaka....ila tupo pamoja Click to expand... Watu wanashindana kuanzisha thread
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Aug 30, 2013 #5 Luno G said: Watu wanashindana kuanzisha thread Click to expand... Hili ni tatizo sasa mkuu
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,549 Reaction score 1,849 Aug 30, 2013 #6 Mbrazili said: Hili ni tatizo sasa mkuu Click to expand... utasema kuna posho za kuanzisha nyuzi