IFM Special Thread

IFM Special Thread

Aaagh sasa kabla hujaweka thread uangalie kwanza...zipo 3 za hivi hivii kaka....ila tupo pamoja
 
Tatizo ni hostel hapo inabidi muwahi huko kigamboni au muandike mapema barua za hostel mkichelewa zitaisha..alaf kigamboni vyumba vya karibu na feri vipo vichache na nyie mwaka wenu mnaonekana mpo wengi kweli kweli..
 
Back
Top Bottom