mchlmmnl2
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 168
- 54
Ni chuo cha usimamizi wa fedha. Hakika nichuo achacho kinatoa elimu bora kwani mambo yake mengi yapo"organised" Tangu kimeanzishwa mwaka 1972 under the Act of the parliament no 21 kimekua kikiboresasha huduma mbali mbali.
Taaluma yapale hakika ipo vizuri waalimu wanajitoa kufundisha kwa moyo wote.
Japo kua inawanafunzi wengi lakini chuo kinajitahidi kuweza kuhakikisha kila mmoja anapata haki yake ya elimu bora.
Kuhusu mitihani uliza wanafunzi wa IFM watakuambia. Mtu akihitimu IFM he is real the proffesional.
Hakika ni chuo namba moja Tanzania kwa taaluma ya fedha na uchumi