Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
We binti kiboko kilicho kukasirisha nini kwani? UmemaliziaT.Kisanji nini?
kwani graduate wa Teofilo kisanji ana tofauti gani na wa IFM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We binti kiboko kilicho kukasirisha nini kwani? UmemaliziaT.Kisanji nini?
Kipo Tanzania mjini karibu na ikulu
Nimemaliza mwaka jana BAC pale IFM kipindi naomba kazi chuo kilikua kigezo cha mm kupata kazi
Nimemaliza mwaka jana BAC pale IFM kipindi naomba kazi chuo kilikua kigezo cha mm kupata kazi
We binti kiboko kilicho kukasirisha nini kwani? UmemaliziaT.Kisanji nini?
Ni chuo cha usimamizi wa fedha. Hakika nichuo achacho kinatoa elimu bora kwani mambo yake mengi yapo"organised" Tangu kimeanzishwa mwaka 1972 under the Act of the parliament no 21 kimekua kikiboresasha huduma mbali mbali.
Taaluma yapale hakika ipo vizuri waalimu wanajitoa kufundisha kwa moyo wote.
Japo kua inawanafunzi wengi lakini chuo kinajitahidi kuweza kuhakikisha kila mmoja anapata haki yake ya elimu bora.
Kuhusu mitihani uliza wanafunzi wa IFM watakuambia. Mtu akihitimu IFM he is real the proffesional.
Hakika ni chuo namba moja Tanzania kwa taaluma ya fedha na uchumi
Mpe hi Sir Andendekisye
Nina wasiwasi na mleta mada huenda ni first year,maana malimbukeni wa mashindano ya vyuo mara nyingi ndio wao,IFM ni chuo cha kawaida lakini huwezi kusema ni the best in TZ,naona unajitibu kisaikolojia mkuu,hebu usiwe mvivu google vyuo bora Africa kwa mwezi uliopita then uniambie IFM ni cha ngapi,au kama vp google vyuo bora tz currently then usisite kutuletea mrejesho hapa,acheni kuja na justfication za kishabiki though chako ni chako!
Ok,kumbe bado ni institute nilidhani kishakuwa university,kwi kwi kwi kwi kwi..............!we unamatatizo yako ya kuto elewa ile ni Institute sio university sa hata ukigoogle utaona universities
Hivi mniwasa yupo bado??