IFM the best place to be

IFM the best place to be

Nimemaliza mwaka jana BAC pale IFM kipindi naomba kazi chuo kilikua kigezo cha mm kupata kazi

Kama kweli umemaliza na uko kazini naomba unijibu!!! IFM ni chuo kikuu au ni TAASISI??
 
Ukweli ni kwamba Governing Council ya sasa na Rector aliyepo wameboresha sana chuo kwa upande wa taaluma. Uongozi uko makini, mpaka wamintroduce dress-code kwa wanafunzi wao; kitu ambacho ni adimu kwa vyuo vyetu vingi!!!,
 
Nimemaliza mwaka jana BAC pale IFM kipindi naomba kazi chuo kilikua kigezo cha mm kupata kazi

sasa mbona elimu yako haijakusaidia..? mambo ya kusifia chuo ni ya ki-zamani, badilika kijana! wewe ulishawahi kusikia watu waliosoma HAVARD UNIVERSITY wanakisifia chuo chao kwenye social networks? acha ujinga wewe,
 
We binti kiboko kilicho kukasirisha nini kwani? UmemaliziaT.Kisanji nini?

Hko TKisanji n Chou ww wasifia Taasisi iliyowekwa kwa watu walioko inservice ww na matokeo yako has waanza sifia upuuzi,ajira yako ipo limited n hapa bongo tu huvuk boda,,,akil za mwaka wa kwanza hzo unaona ndo umefka limbuken ww
 
Ni chuo cha usimamizi wa fedha. Hakika nichuo achacho kinatoa elimu bora kwani mambo yake mengi yapo"organised" Tangu kimeanzishwa mwaka 1972 under the Act of the parliament no 21 kimekua kikiboresasha huduma mbali mbali.
Taaluma yapale hakika ipo vizuri waalimu wanajitoa kufundisha kwa moyo wote.
Japo kua inawanafunzi wengi lakini chuo kinajitahidi kuweza kuhakikisha kila mmoja anapata haki yake ya elimu bora.
Kuhusu mitihani uliza wanafunzi wa IFM watakuambia. Mtu akihitimu IFM he is real the proffesional.
Hakika ni chuo namba moja Tanzania kwa taaluma ya fedha na uchumi

......True.....
 
Hongeren IFM, sisi wengine tulisoma vyuo ambavyo huwa hatujipaishi lakin nilipokuwa naingia mwaka wa kwanza VC wangu alisema hujakosea kuja Ardhi University coz is the only University in Town, ckujua anamaanisha nn, lakin baada ya masomo kuanza ndio niliamin alikuwa anamanisha nn
 
Nina wasiwasi na mleta mada huenda ni first year,maana malimbukeni wa mashindano ya vyuo mara nyingi ndio wao,IFM ni chuo cha kawaida lakini huwezi kusema ni the best in TZ,naona unajitibu kisaikolojia mkuu,hebu usiwe mvivu google vyuo bora Africa kwa mwezi uliopita then uniambie IFM ni cha ngapi,au kama vp google vyuo bora tz currently then usisite kutuletea mrejesho hapa,acheni kuja na justfication za kishabiki though chako ni chako!
 
we unamatatizo yako ya kuto elewa ile ni Institute sio university sa hata ukigoogle utaona universities
 
90% ya wanaoikashifu ifm ni wale waliograduate semister ya kwanza ya mwaka wa 1 A.K.A waliodisco kiitaaambo...10% ni wale ambao wamelishwa sumu na wale waliodisco au ni wale wanaotamani kuingia IFM ila wanaogopa kudisco na hawana uwezo wa kutumia calculator wao wanajua kukariri tu
 
Ifm kimbilio la pass za cdd, cee, ddd, dee...! Teh teh teh teh...by the way ile kashfa ya wizi wa mitihani na marks za chupi vp?
 
we unamatatizo yako ya kuto elewa ile ni Institute sio university sa hata ukigoogle utaona universities
Ok,kumbe bado ni institute nilidhani kishakuwa university,kwi kwi kwi kwi kwi..............!
 
degree za papuchi kwa wadada & degree za umateumate kwa wakaka. tehtehteteh!!
 
kuna jamaa walinifundisha enzi hizo sijui kama bado wapo anaitwa jeremiah kimpong NGUMA aka mwananchi,jamaa alikuwa anapiga auditing alikuwa kameza kitabu cha milchamp chote,
then kuna jamaa alikuwa anapiga business mathematics mr abdu na accountant gullu in tanzania mr lyanga(mhasibu consultancy)
enzi hizoooooo! Advance diploma in accountacy ya IFM inakimbiza hatari
 
Back
Top Bottom