NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,422
- 2,418
mbona watazimika wenyewe tu ?
"like candles...........with alcohols...........au you mean kwamba wameshazimika oredy,nyambulisha sentensi plz"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona watazimika wenyewe tu ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kunipa kamati ya chakula una maana nitoe huduma high table au nisimamie maakuli?
nitahakikisha maharusi hasa bw harusi amepata lishe yakutosha ili usije ukaibuka na
malalamiko ya ukosefu wa nguvu.
Dena amsiMWENYEKITI WA KAMATI:BABA V,MSAIDIZI WAKE MZABZAB!
KATIBU WA KAMATI: JUDGEMENT.MSAIDIZI WAKE NI DONN!
MTUNZA FEDHA: NDUKI,MSAIDIZI WAKE NI SLAVE!
MAJUKUMU:
MAPAMBO: Dena amsi &cacico
CHAKULA: Mamndenyi &Mwali
VINYWAJI: Nduki,Arushaone,Noahism,na Chilli
USAFIRI: Boflo,Nicas Mtei,Kaka kiiza,the secretary na The boss
STAREHE NA UPAPARAZI: Erickb52 na bishanga(kukusanya habari na matukio yatakayojiri)
FLOOR MANAGER: Asprin
flower girls:
- preta
-cielo
-smile
-arabela
-nicole
-paloma
-smile
hawa watakua mbele ya maharusi wakiongozwa na dada wa bi harus FIRST LADY na CHAMINGLADY!
imebidi kupanga mijukumu kabisa maana tuna muda mchache kufikia shughuli yenyewe,vipingamizi vilikua vingi!
KIPIPI utakua na jukuma la kuendesha maharusi!
EXCELLENT,KILITIME,GAZETI,CHARDAMS,CHIMBUVU na MTAMBUZI mtaendesha magari yatakayokuepo ya kubeba wazazi,ndugu,jamaa na marafiki!
mambo mengine kamati watamalizia:
asanteni na karibuni sana!
Tutamkumbuka daimaDena amsiView attachment 454106[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] wakati si milele
so sorryTutamkumbuka daima
Upo we mkakaso sorry
Nipo PL nawaza hapa na kuwazua kuhusuUpo we mkaka
Unawaza kuhusu nini sasaNipo PL nawaza hapa na kuwazua kuhusu
Hivi hii ishu ilikuwa kweli au utaniKwa kunipa kamati ya chakula una maana nitoe huduma high table au nisimamie maakuli?
nitahakikisha maharusi hasa bw harusi amepata lishe yakutosha ili usije ukaibuka na
malalamiko ya ukosefu wa nguvu.
Wakuolewa yuko wapi hapoHivi hii ishu ilikuwa kweli au utani