davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Kwema wana bodi. .. Tujuliane hali kwa kucomment mwaka uliomaliza na jina la bweni/ block/ na ziada.
Mimi 2008, seuta, block G4 na G5
Mimi 2008, seuta, block G4 na G5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sidhani hata kama umehitimu kidato cha piliSeuta 2016-2018 D4
Kwanini?Wewe sidhani hata kama umehitimu kidato cha pili
Kwani elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne nilijua ni 4yrsKwanini?
Nimezungumzia kwa upande wa advance mkuu.Kwani elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne nilijua ni 4yrs
Sawa mkuu, nisamehe kwakuwa sikuwa nimeelewa.Nimezungumzia kwa upande wa advance mkuu.