malisoka JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,860 Reaction score 2,636 Nov 21, 2017 #1 Rihanna akiwa katika mavazi yake. Dada zetu Mkiiga haya hakika tutachukua bakora na kuwatandika mabarabarani. Hakuna haki kama hii Tanzania.
Rihanna akiwa katika mavazi yake. Dada zetu Mkiiga haya hakika tutachukua bakora na kuwatandika mabarabarani. Hakuna haki kama hii Tanzania.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Nov 21, 2017 #3 Lakini sidhani kama huyo Rihanna yupo barabarani hapo.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Nov 21, 2017 #4 vazi hili litaanzia kumbi za starehe mdogo mdogo hadi mtaani
malisoka JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,860 Reaction score 2,636 Nov 21, 2017 Thread starter #5 kijani11 said: Lakini sidhani kama huyo Rihanna yupo barabarani hapo. Click to expand... wanawake wetu hawana akili hiyo Yeye Rihanna yupo kwenye show na wakati huo huo yupo kwenye matangazo ya hayo mavazi. lakini utashangaa hawa wanawake wetu wa Bongo watakuja kutuvalia makanisani!
kijani11 said: Lakini sidhani kama huyo Rihanna yupo barabarani hapo. Click to expand... wanawake wetu hawana akili hiyo Yeye Rihanna yupo kwenye show na wakati huo huo yupo kwenye matangazo ya hayo mavazi. lakini utashangaa hawa wanawake wetu wa Bongo watakuja kutuvalia makanisani!
lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,384 Nov 21, 2017 #6 Walembo-warembo, Shule nzuri jamani.
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,416 Reaction score 16,603 Nov 21, 2017 #7 Walembo wataiga. Ila warembo hawataiga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuja Yesu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 564 Reaction score 485 Nov 21, 2017 #8 Watakuja warembo wapate mpya
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,074 Nov 21, 2017 #9 huhu mwanamke 'ulembo' sipatii picha avae mtu na shape nzur !atapendeza kuliko rir
Z ZEE LA HEKIMA JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,420 Reaction score 1,842 Nov 21, 2017 #10 Hapo anauza nini?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Nov 21, 2017 #11 Mbona gigy money analivaaga vazi la hivyo majukwaan
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Nov 21, 2017 #12 Ushawatandika wangapi mpaka sasa???
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Nov 21, 2017 #13 Numbisa said: Mbona gigy money analivaaga vazi la hivyo majukwaan Click to expand... Vee money, amber lulu, queen Darleen
Numbisa said: Mbona gigy money analivaaga vazi la hivyo majukwaan Click to expand... Vee money, amber lulu, queen Darleen
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Nov 21, 2017 #14 Vanessa mdee akivaa hivyo itapendeza
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,074 Nov 21, 2017 #15 demi said: Vanessa mdee akivaa hivyo itapendeza Click to expand... mia!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 21, 2017 #16 Hujapita kwenye kumbi za starehe nyakati za usiku... Mbona hapo cha mtoto... Cc: mahondaw
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Nov 24, 2017 #17 lossoJR said: Walembo-warembo, Shule nzuri jamani. Click to expand... Msukuma
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Nov 28, 2017 #18 U.t.I tupu