Sijui kama huo mfumo wao kweli wanautumia.Hii ya Shabiby kukata tiketi online nimeipenda sana hv mabasi mengine mnakwama wapi...hii mambo ya kuja UBUNGO na kushikwashikwa na hao wapiga debe......
Nakupa hongera Shabiby Bus
Shabiby Line Online Booking
Shabiby express online bus booking, katika tikiti ya basi mtandani na ufanye malipo kwa kutumia TigoPesa. Mpesa, Halopesa au Airtel Money . Kampuni kubwa ya usafirishaji Tanzania, Furahia safari yako na Shabibywww.shabiby.co.tz
Mbona kwa darlux ipo kitambo sana[emoji2]Hii ya Shabiby kukata tiketi online nimeipenda sana hv mabasi mengine mnakwama wapi...hii mambo ya kuja UBUNGO na kushikwashikwa na hao wapiga debe......
Nakupa hongera Shabiby Bus
Shabiby Line Online Booking
Shabiby express online bus booking, katika tikiti ya basi mtandani na ufanye malipo kwa kutumia TigoPesa. Mpesa, Halopesa au Airtel Money . Kampuni kubwa ya usafirishaji Tanzania, Furahia safari yako na Shabibywww.shabiby.co.tz
Wanatumia, me nimekata tiketi online mkuu....Sijui kama huo mfumo wao kweli wanautumia.