Igeni mfano wa Shabiby Bus Tiketi online fasta tu

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Hii ya Shabiby kukata tiketi online nimeipenda sana hv mabasi mengine mnakwama wapi...hii mambo ya kuja UBUNGO na kushikwashikwa na hao wapiga debe......
Nakupa hongera Shabiby Bus
 
Sijui kama huo mfumo wao kweli wanautumia.
 
Hii ya Shabiby kukata tiketi online nimeipenda sana hv mabasi mengine mnakwama wapi...hii mambo ya kuja UBUNGO na kushikwashikwa na hao wapiga debe......
Nakupa hongera Shabiby Bus
Mbona kwa darlux ipo kitambo sana[emoji2]
 
Back
Top Bottom