Igizo la Corona limeishia wapi?

Igizo la Corona limeishia wapi?

Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?

Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?

Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?

Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.

Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
... unauliza swali ambalo ulitakiwa ujijibu mwenywe! Hujiulizi kwanini baada ya mdharau corona kuliwa kichwa; stern measures kuchukuliwa na successor tatizo limepungua kwa kiwango kikubwa? Corona kama ilivyo maradhi mengine ni kuchukua hatua na sio kutia dharau; inakugeuza wa mfano!
 
Korona imemalizwa na Putin alipovamia Ukraine.

Yaani CNN, BBC na ndugu zao wengine bila aibu wamekausha utafikiri siyo wenyewe waliokuwa wanakesha wakipambania Korona. Dunia hii ya ajabu sana!

Putin apewe tuzo ya kumaliza Korona![emoji51][emoji51][emoji51]
 
Wewe ulitaka iendelee mpaka lini? Kaulize ndugu na mashabiki wa yule aliyekufa 17 March 2021. Pandemic huwa ina mwisho wake. Na hii siyo ya kwanza. Ilikuwepo 1918, 1957... na ziliua watu wengi sana. Lakini mwishoe zilipita. Hii ya sasa imeua zaidi ya milioni 15. Kama wewe umesalimika mshukuru Mungu. Usijione bingwa sana. Tumezika ndugu wetu wengi sana. Wengine walizika usiku na serikali kama mbwa - Kivumishi Kielezi
Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?

Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?

Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?

Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.

Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
 
Ukisikia kipindupindu akili ya moja kwa moja ni uchafu.
Niliposikia Corona na jinsi inavyoambukiza, moja kwa moja nikajua sasa kiama cha Dada poa na kaka poa kimefika!
Daa!! nimekatiza juzi, duu! ndiyo wamejaa kama kumbikumbi!!
 
Corona nilijua tangu mwanzo ni kelele za wapigaji tu.

Magu alikuwa sahihi kuikata corona ila approach yake ilikuwa ya kishamba sana.Sio ajabu ika......

Corona ilikuwa biashara ya watu bilions of money generated.

Saivi huwasikii wakipiga kelele kuhus corona wamehamia ukraine wakitoka Ukraine watahamia sehemu ingine

Dunia inaendeshwa na matukia wanayoyapanga watu ukielewa hivyo unachill wala hupati shida.
 
Ajenda za kiibilisi sana.
True ni baada ya ibilisi kupata hasara ya kupigwa kombora moja zito hatari sana akapoteza watendaji Kazi wake wengi kuzimu nae kwa hasira akaamua kurevenge duniani kwa kuleta corona Ili avune watu wengi ndani ya mda mfupi Sana kufidia watu wake waliokufa.
Wenye macho ya kiroho waliona hilo.Magufuli aliona hilo akawaambia watz Hakuna corona ni michezo hio watu waombe,wengi awakumuelewa,baadhi ya watu wa dini nao walioona huu mchezo, hata Mimi nilikuwa against Jpm nilipozama chimboni kutafuta maarifa katika ulimwengu usioonekana, nikaja kumuelewa Magufuli alikuwa sahihi.
Hii ni michezo ya darksiders.
Ishu za corona, majanga mbalimbali, sijui mabadiliko ya tabia nchi, na mengine yajayo. Ni michezo tu ya darksiders
 
... unauliza swali ambalo ulitakiwa ujijibu mwenywe! Hujiulizi kwanini baada ya mdharau corona kuliwa kichwa; stern measures kuchukuliwa na successor tatizo limepungua kwa kiwango kikubwa? Corona kama ilivyo maradhi mengine ni kuchukua hatua na sio kutia dharau; inakugeuza wa mfano!
Dah Kwa Hiyo Sasa Hivi Social Distance Inazingatiwa Sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulitaka iendelee mpaka lini? Kaulize ndugu na mashabiki wa yule aliyekufa 17 March 2021. Pandemic huwa ina mwisho wake. Na hii siyo ya kwanza. Ilikuwepo 1918, 1957... na ziliua watu wengi sana. Lakini mwishoe zilipita. Hii ya sasa imeua zaidi ya milioni 15. Kama wewe umesalimika mshukuru Mungu. Usijione bingwa sana. Tumezika ndugu wetu wengi sana. Wengine walizika usiku na serikali kama mbwa - Kivumishi Kielezi
Wameshatangaza Pandemic Imeisha?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Corona nilijua tangu mwanzo ni kelele za wapigaji tu.

Magu alikuwa sahihi kuikata corona ila approach yake ilikuwa ya kishamba sana.Sio ajabu ika......

Corona ilikuwa biashara ya watu bilions of money generated.

Saivi huwasikii wakipiga kelele kuhus corona wamehamia ukraine wakitoka Ukraine watahamia sehemu ingine

Dunia inaendeshwa na matukia wanayoyapanga watu ukielewa hivyo unachill wala hupati shida.
Barakoa zimeuzika Sana Huku Kwetu Zilikuepo Za Vitenge.

Back
Top Bottom