Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
- Thread starter
-
- #81
Wao wenyewe wanajijua ni vinyamkera.Kwahiyo umewabatiza majina rasmi kuwa ni vinyamkera A.K.A vibwengo badala ya CHAWA [emoji848] [emoji28]
Ugonjwa wa matajiri ule ...ww masikini ukikupata hata kufa hufi ukifa basi jua ni bahati mbayà tuHii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?
Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?
Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?
Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.
Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
Serikali lako la samia limetoa takwimu ngapi?
Hata watu wakienda kunya mnaandika takwimu?
How stupid is that?
Kabla ya UVIKO-19 ulipoteza wangapi ukilinganisha na kabla.
Mfamasia putin katumalizia hii issue
Swali muhimu sana hili.Kabla ya Corona, walikuwa wanakufa wangapi kwa upumuaji huko Germany kwa siku, na sasa wanakufa wangapi kwa siku kwa magonjwa ya upumuaji?