Kwa yeyote aliyekuwa akifuatilia mchezo huu wa redio atufahamishe wale jamaa siku hizi wako wapi? Akina Zodwa, Ray, Sadik, Dulla na Tausi pia kama kuna mtu anaweza kutusaidia picha za waigizaji wote.
Wale mkuu nadhani ni kikundi fulani cha wasani wakiwemo CHECHE, JOAN MATOVOLWA, BANANA na wengineo ambao wamecheza video ya ZOBA ya msanii Banana Zoro,Wahapa Hapa Volume 1, huenda ilikuwa ni programe ya muda mfupi ya TACAIDS.
Naona hakuna mkuu, but cha kujipa matumaini ni kuwa soon zitapatikana tu YouTube kwa maana kuna vitu vingi sana ikiwemo nyimbo, tumekuwa tukivitafuta pasipo mafanikio mara paaap unashangaa ime aploadiwa YouTube.